umalaya tabia ya mtu, wanaume wote ni Malaya bila kujali kabila na ndio wenye tabia ya kujisifu kwa kulala na wanawake wengi. Kama watu wenye thread za kusema hawajawahi kulala na bikira Mara sijui wanachekwa na wanaume wenzao n.k si ndo umalaya wenyewe kwani hao ni wanyakyusa wote. Makabila mengi Tanzania hayakatai kuoa mitala hicho ndo chanzo cha umalaya sio wanyakyusa tu. Hiyo post inahusu sifa zao kama jamii/ jumuiya na lengo sio kushindana ukabila. Kama unataka kuwachafua au kuandika mabaya Yao anzisha thread mpya kuhusu hayo.
Narudia tena, ukimtongoza mwanamke unataka nini akukubali akikukubali unamwita malaya