Jaribu kuwa mzazi tuone kizazi chako. Unataka wazazi wako wakupe mtaji wakati wewe huna Wala kuanzisha cha kwako. Kutwa umevaa kibukta au dela unaburuza matende nyumbani kwa wazazi wako
Wanafahamu maisha yakujitegemea pasina mipango yoyote. Kijana anahitaji saport ajitegemee either alipiwe chumba miezi kadhaa na vitu fln vya ndani na ataftiwe kibarua atlest aingize laki kwa mwezi sasa mnataka wajitegemee hovyo? Mnawatakia nini watato wa afumbili???