handsome1
Senior Member
- Jul 16, 2013
- 183
- 24
1.mwaminifu ktk kila jambo 2.sio mbishi kwa mumewe na watu wengine 3.hadekezi watoto 4.ni msiri kuhusu mambo ya mumewe na ya familia kwa ujumla 5.ana hekima na sio kutwa kutafuta watu na kuropoka siri za familia 6.ni mvumilive 7.ni mwepesi wa kukiri makosa yake na tabia zake ambazo sio njema 8.ni msafi wa mwili,nyumba na mavaz,sio kurundika michupi michafu bafuni nk. 9.mcha mungu ila asiyejiona kuwa yeye yuko perfect 10.anapenda kumpikia na kumfulia mumewe na kumsaidia mambo mbali mbali 11 ni mleta mahusiano mema ktk familia zote 2 sio mchonganish wala mtu wa kulazimisha mambo yake yakubaliwe 12.hana dharau,kibur,hasira na unafik...