sifa 15 za mwanamke afaae kuitwa mama

sifa 15 za mwanamke afaae kuitwa mama

Unaposema sifa za mwanamke anayefaa kuitwa mama hauwezi kutoa sifa za mwanamke anayefaa kuwa mke.
Mtoa mada sifa ulizoorodhesha hapo ni za aina ya mke unayetaka awe.
Hivi mama bora na chupi bafuni inahu?
Huu ni mtazamo tu kuwa unapozungumzia mwanamke anayefaa kuitwa mama angalia sifa za mama (mzazi) ila sifa ulizoorodhesha weka kwa mwanamke anayefaa kuitwa mke.
 
Kwa mimi unapozungumzia sifa za mwanamke anayefaa kuwa mama, nitatoa sifa za mama yangu na nitaconclude kuwa ni best mother i have ever see.
 
1.mwaminifu ktk kila jambo 2.sio mbishi kwa mumewe na watu wengine 3.hadekezi watoto 4.ni msiri kuhusu mambo ya mumewe na ya familia kwa ujumla 5.ana hekima na sio kutwa kutafuta watu na kuropoka siri za familia 6.ni mvumilive 7.ni mwepesi wa kukiri makosa yake na tabia zake ambazo sio njema 8.ni msafi wa mwili,nyumba na mavaz,sio kurundika michupi michafu bafuni nk. 9.mcha mungu ila asiyejiona kuwa yeye yuko perfect 10.anapenda kumpikia na kumfulia mumewe na kumsaidia mambo mbali mbali 11 ni mleta mahusiano mema ktk familia zote 2 sio mchonganish wala mtu wa kulazimisha mambo yake yakubaliwe 12.hana dharau,kibur,hasira na unafik...

Mwenye sifa hizi lazima atakuwa wife kweli kweli!
 
1.mwaminifu ktk kila jambo 2.sio mbishi kwa mumewe na watu wengine 3.hadekezi watoto 4.ni msiri kuhusu mambo ya mumewe na ya familia kwa ujumla 5.ana hekima na sio kutwa kutafuta watu na kuropoka siri za familia 6.ni mvumilive 7.ni mwepesi wa kukiri makosa yake na tabia zake ambazo sio njema 8.ni msafi wa mwili,nyumba na mavaz,sio kurundika michupi michafu bafuni nk. 9.mcha mungu ila asiyejiona kuwa yeye yuko perfect 10.anapenda kumpikia na kumfulia mumewe na kumsaidia mambo mbali mbali 11 ni mleta mahusiano mema ktk familia zote 2 sio mchonganish wala mtu wa kulazimisha mambo yake yakubaliwe 12.hana dharau,kibur,hasira na unafik...

Pole sana inaonyesha ulitarajia hayokwa mke uliyenaye , lakini ukakuta viseversa pole sana, mfundishe na muelimishe atabadilika.
 
mbona unaguna best angu huyo jamaa anajifanya anajua sana personality za watu kwakutumia keybord

Umejifunzia wapi kusema uongo?

Watu gani niliojifanya kuwajua?
 
I beg to differ. Kuwa mama kwa watoto wataozaa na mume ama kuwa mama kwa mumewe? Hizi point wala haziendani na kuwa mama kabisaaaa.
 
mbona unaguna best angu huyo jamaa anajifanya anajua sana personality za watu kwakutumia keybord

Ha ha ha...umenifanya nitamani kukufahamu zaidi ya hapa...naomba niwe mgeni wa familia yako siku moja!!!
 
Nikiwa nimechoka na kazi au niko out of mood, nakuja humu MMU kwa ajili ya kucheka~
 
Mmh hapo kwenye michupi hapo !! Kwani wanaume wao huwa hawarundikagi boxer zao chafu kwa chumba? Basi nao hawafai kuitwa baba loh!!
 
pia asiwe mgommvi gomvi.... hasa kupigana pigana mtaani au na majirani zake.
 
Umejifunzia wapi kusema uongo?

Watu gani niliojifanya kuwajua?
quote_icon.png
By Nivea
watu wenye akili huwa hatujudge upande mmja wa shilingi never an ever



Una uhakika?
Hebu soma ulichoandika hapa chini!


quote_icon.png
By Nivea
Nawahakikishieni mkichunguza vizuri aliyepelekea hayo ni huyo bwana,



Hivi ndivyo watu wanvyoangalia pande zote?

quote_icon.png
By Nivea
.mimi sina ndoa ya mateso ila am old enough na nina experience nzuri tu ya hizi ndoa za siku hizi.



Tazama ulichoshauri hapa chini

quote_icon.png
By Nivea
namsifu sana huyo mama kwa kuwa hajafunga ndoa na huyo jamaa,maisha ni haya haya wacha akainjoy zake huko!



Huo ndio ushauri wa mtu mzima na mwenye uzoefu au unadhihirisha maumivu yako kwa kauli zako hizi?
Kukataa jambo sio kutibu bali kulizidisha!!!

quote_icon.png
By Nivea
na wewe Eiyer una tabia mbaya sana mtu akiongea au kuchangia kitu wewe una mjugde ndivyo alivyo



Hisia zako zinaonekana wazi kwa mtu mwenye utambuzi
Kama kusema ukweli ni tabia mbaya sawa ila kuna siku utakumbuka maneno yangu!

quote_icon.png
By Nivea
kuwa na ukomavu wa akili na mko wengi sana humu ndani wenye akili nyepesi mtu akichangia mada ya ndoa kwa uzoefu wake utasikia oh wewe una ndoa ya mateso hivi unafikiri watu tunaishi sayari ya MARS??



Huu hapa chini ni ushauri au ushabiki?

quote_icon.png
By Nivea
haishi milele ati.ni maamuzi magumu sana na huyakuti kwa wanawake wajinga wajinga tu.



Kwako wewe huyu alichokifanya ni ushujaa kwakuwa na wewe unatamani kukifanya siku moja
Huwezi kudai huu ni ushauri!

quote_icon.png
By Nivea
tupo hapa duniani usipokutana nalo wewe hata nduguyo jifunze wewe sio kuhukumu na kutoa cheap conclusion.am sory to say that



Najua unaweza kutafuta nafuu kwa style nyingi lakini kuukubali ukweli ndio suluhu ya kweli!!!!​


  • UMESAHAU ULIPOACHA KUCHAMBUA MADA NAKUANZA KUNICHAMBUA KAMA KARANGA.
 
UMESAHAU ULIPOACHA KUCHAMBUA MADA NAKUANZA KUNICHAMBUA KAMA KARANGA.


Najua hujaelewa swali langu

Mimi nilikuwa nasema na wewe
Wewe umesema watu
Sasa nataka kuwajua hao watu unaodai najidai kuwajua!
 
najua hujaelewa swali langu

mimi nilikuwa nasema na wewe
wewe umesema watu
sasa nataka kuwajua hao watu unaodai najidai kuwajua!
ni tabia yako yakudumu na si kwangu tu na nilishaona kwa watu wengine pia,hakuna mkamilifu na usifikiri watu wanapoongea huku ndio walivyo unawajudge kwa kutumia akili yako no no hata kama unajifanya una utambuzi sio hivyo wakati mwingine unakwaza kwa kweli.
Mimi nina tabia moja
1.sipendi kusingiziwa kitu au hali fulani amabayo sivyo nilivyo nakasirika sana sababu hunijui hujaishi na mimi at least unaweza kuwa na lakusemakusema ,lakini kusema mimi ni mkorofi,sio mara moja unasema ndoa yangu ya mashaka ,ni ya tabu na bla bla nyngi wakati sio.ni sawa na wanaume wa humu amabavyo wanamjugde mtu kama lara 1 ,kumbe hupaswi kusema lolote watu huwa wanauvaa uhalisia tu unakuta ni mtu tofauti na ulivyomdhania .
2.sipendi kulazimishwa kuwa nimefanya jambo fulani ambalo sijalifanya na unanilazimisha nimelifanya na siwezi proove beyond your dought nachukia sana ,ooh ukweli utakuweka huru huwa natafakari sana umri wako wewe1
sory to say this
 
ni tabia yako yakudumu na si kwangu tu na nilishaona kwa watu wengine pia,

Naomba useme hao watu wengine ni wakina nani na kwa ushahidi gani,la sivyo unitake radhi hapahapa!
hakuna mkamilifu na usifikiri watu wanapoongea huku ndio walivyo

Ni kweli hakuna mkamilifu ndio maana nimekukosoa
Kile unachokiongea hapa kinareflect kile kinachoendelea kwenye akili yako unless uwe unafanya masikhara hapa
unawajudge kwa kutumia akili yako no no
Unataka nitumie akili ya nani?
hata kama unajifanya una utambuzi sio hivyo wakati mwingine unakwaza kwa kweli.
Mimi nina tabia moja

Si kweli
Hakuna binadamu mwenye tabia moja,hili umelidhihirisha hapa kwa kuweka tabia zako zaidi ya moja!
1.sipendi kusingiziwa kitu au hali fulani amabayo sivyo nilivyo nakasirika sana

Unakasirika nini ukisingiziwa jambo la uongo?
Unakasirika kweli au unashindana na kilicho ndani mwako kwa hofu?
sababu hunijui hujaishi na mimi at least unaweza kuwa na lakusemakusema

Kwani ni lazima niishi na wewe ili nikujue?
,lakini kusema mimi ni mkorofi,sio mara moja unasema ndoa yangu ya mashaka ,ni ya tabu na bla bla nyngi wakati sio.
Nivea inaonekana huwa hunisomi ukanielewa
Sijawahi kusema wewe ni mkorofi
Ni kweli niliwahi kusema kuhusu ndoa yako kuwa ya mashaka,lakini sikusema kwa asilimia 100,huwa ninasema kwa kiasi ambacho ninakiona kwenye maelezo yako[kumbuka hakuna mwenye uhakika wa asilimia 100]

Lakini kwa post yako hii inaonekana wazi kuna kitu ndani yako unashindana nacho siku ukijisikia unaamua kumwambia yule unaemwamini lakini nakuambia kuna jambo
Hakuna mtu anaechukia tu hivihivi kwa maneno ya mtu ambae anadai hamjui,kwanini usinipuuze tu?
Haya maneno yako uliyosema hapa mengi ni yale yaliyoko akilini mwako na sio niliyosema mimi!
ni sawa na wanaume wa humu amabavyo wanamjugde mtu kama lara 1 ,kumbe hupaswi kusema lolote watu huwa wanauvaa uhalisia tu unakuta ni mtu tofauti na ulivyomdhania .

Hapa siwezi kuwasemea watu wengine lakini hili nalo lina maelezo yake pia!
2.sipendi kulazimishwa kuwa nimefanya jambo fulani ambalo sijalifanya na unanilazimisha nimelifanya na siwezi proove beyond your dought nachukia sana ,ooh ukweli utakuweka huru huwa natafakari sana umri wako wewe1
sory to say this

Hivi kweli Nivea mimi naweza kukulazimisha jambo?
Kwa kutumia nini hasa/keybord?oooooooooh no!

Kwanini unachukia mambo ya uongo?
Unachukia mambo ya uongo au hupendi kuambiwa ukweli kama ilivyo desturi yetu wanadamu?
Najua karibu kila mwanadamu amejichagulia watu wa kumwambia mambo fulani na hataki kuambiwa mambo hayo na watu fulani,hili ni kosa kubwa,huna haja ya kukasirika kama nimekuambia mambo ya uongo wewe yapuuzie tu!

Nakuhakikishia kuwa kuna mambo unaweza kuyagundua kupitia maandishi au maneno ya mtu,na hapa nazidi kuthibitisha yale niliyokuwa nahisi ni kweli

Pole lakini!

Usidhani labda mimi nina ugomvi wowote na wewe Nivea !!
Nakupenda kama ninavyowapenda wengine hapa!
Pamoja sana............😛eace:😛eace:😛eace:😛eace:
 
Last edited by a moderator:
Saaafi .wanaume msiangalie mwonekano wa nje tu maana warundika nguo za ndan ni wengi. Unaweza kumuona binti kapendeza lakini hata kuosha vyombo hajui. Anaacha had vinatoa funza . mh jaman hatari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom