Sifa 10 za mwanamke bora wa kuoa

Hadi hereni ni kitu fake hakitakiwi kuwepo mwilini?

Amka unawe uso halafu ufikirie tena. By the way Ahsante kwa maneno murua
hereni zimebeba mikosi na athari kimwili na kiroho, lakini watu hawataki kukubaliana. Ukiacha kutumia mapambo kama hayo utaona mabadiliko maishani.
 
Namba 5 na 9 ni tatizo hilo mzee huwezi kupata wasifa zote hizo 10 ukipata wasifa 1 mpaka 5 oa tu.
 
Namba 5 na 9 ni tatizo hilo mzee huwezi kupata wasifa zote hizo 10 ukipata wasifa 1 mpaka 5 oa tu.
nimeziweka mwishoni makusudi, najua ni ngumu ...lakini wapo wengi tu. Sema wanawake wengi tumewaharibu sisi wanaume. Tumewatamani bila kuwapenda, tukawajeruhi mioyo na maisha mapema. Ila nao kwasababu wana mioyo miepesi mno....! Alisemwa sana kuwa umeachika, basi na yeye anaanza kuwa mmbea au msengenyaji kwa wengine atakayeachika...! Aliambiwa wewe hutakuja kuolewa kwasababu fulani, kwahiyo ndio maana anataka ndoa haraka. Aliambiwa mshamba wewe kama housegirl wa Iringa (samahani ni mfano tu ili kuleta uhalisia), basi kuanzia hapo akaanza kupenda starehe, kuvuta shisha,pombe na mapambo kibao mwilini kama mwanasesere ili aende na wakati.
 
Kwa hiyo Mungu huwasikia sana liketoka wapi?

1 PETRO 3:7

Kadhalika ninyi waume, ishini na wake zenu kwa kuwahurumia, mkitambua ya kuwa wao ni dhaifu na hivyo muwape heshima, kwa maana ninyi ni warithi pamoja nao wa neema ya uzima. Fanyeni hivyo ili sala zenu zisizuiliwe.
 
Hapo inakubidi uumbe wa kwako mkuu yaani umetaja sifa za perfect human , kitu ambacho ni uongo kwa kuwa hakuna perfect human.lazima awe na sifa mbili kati ya hizo

Sent using Jamii Forums mobile app
huyo sio perfect human...watu wenye vigezo hivo wapo, sema ni wachache mno...na wengi wetu huwaita wapole na washamba au housegirls. Ila nakuonya hapo tena, upole sio kigezo...hahaha. Sifa nyingine ya watu hawa, hawanaga marafiki kabisa...hawana rafiki wa kike kabisa, unakuta tu ni mazoea ila si rafiki yake ambaye anaweza sema ni rafiki.
 
Kwa ulimwengu wa sasa hizo sifa hazipo tutafute njia mbadala ya kuendana na hawa wanawake
Afrika wapo wengi, Wapo wengi tuuu tanzania. Kabla shetani hajawaharibu jipatie wa kwako...
 
hakuna MWANAMKE SAHIHI wa kuoa ila kuna KANUNI SAHIHI za kuishi na mwanamke..mwanamke yeyote anaweza akawa sahihi(wife material ) kama utaishi nae kwa kanuni sahihi..

Hakuna general features za mwanamke wa kuoa..wewe unaweza kumuona anafaa kuolewa ila mwingine akaona hafai...

Kila mtu apambane na mechi zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo #9 wanaume wengi huwa hawawezi
Ni wwnafiki Sana

Na hapo Kwenye mapambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…