SIENDII TENA HARUSINI

AL SADY OLPLANER

JF-Expert Member
Nov 21, 2016
294
211
Jana nimeenda HARUSINI Nikakuta MILANGO MIWILI
Wa kwanza umeandikwa WAZAZI NA MARAFIKI WA BWANA HARUSI
Mlango wa pili umeandikwa WAZAZI NA MARAFIKI WA BIBI HARUSINI Mimi nikaingia wa kwanza. Nilivyoingia tu mbele nikakuta milango miwili. Wa kwanza umeandikwa WAZAZI WA PIlI MARAFIKI, nikaingia mlango wa marafiki. Mbele tena nikakuta milango miwili, wa kwanza MARAFIKI WENYE ZAWAD na wapili MARAFIKI WA SIO NA ZAWAD, nikaingia mlango wa wasio na zawadi. Kuingia tu nikajikuta niko nje ya ukumbi mbele ya PIPA LA MASALIA YA CHAKULA YALIYOTUPWA kugeuka Nyuma nikakuta pameandikwa MARUFUKU KURUDI NYUMA shikamo waandaji wa harusiiiiiii
 
5454e0da23f767005b8485ea5ef7a596.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom