Siendi Arusha

waende makomredi,NCHEMBA
LUSINDE
NKAMIA
SERUKAMBA.
wakipiga matusi kidogo tu CHADEMA chaliii!!!

Wakija hawa CCM imekosa ushindi 100% na ukitoa hawa sijui utaleta akina nani??
Yetu macho.
 
Vuta Nikuvute Bhana ! ushaharibu sasa , ungewaacha waingie kwenye 18 kwanza ! hakuna Ccm Arusha ! Kama unabisha muulize Chatanda .
 
nenda jombaa ukale nyama kwa Mrombo na Kisongo then uwaambie kua unaumwa
 
Kwa aibu hii ya jana,ningejisikiaje. Wenzangu wa CCM pia muwe mnaangalia mbali.
 
mzee Tupatupa wewe ni noma!! uliona mbali maana hii ilikuwa aibu ya mwaka!! 4-0 sijui zingine ungezificha wapi kwenye koti... Nasikia jamaa aka savimbi alitoka nduki usiku wa manane bila kuaga -- vijana wakamwambia hii siyo singida ni A-Town.
 
Wanakudharau sana mzee vuta vuta lakini ukweli ni kwamba wangekuweka uwe mshauri wao wa karibu
 
mzee Tupatupa wewe ni noma!! uliona mbali maana hii ilikuwa aibu ya mwaka!! 4-0 sijui zingine ungezificha wapi kwenye koti... Nasikia jamaa aka savimbi alitoka nduki usiku wa manane bila kuaga -- vijana wakamwambia hii siyo singida ni A-Town.
Ilikuwa iwe 5-0 wamshukuru refa.
 
Arusha sio iramba, watu wanakamua kikwelikweli kavukavu tena live huku wanakuangalia usoni unavyosikilizia maumivu, wapi Shonza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…