[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unajua kunifurahishaaa maaaaaAbeeeeh
Kwangwaru, nimewaza ati nataka kupiga deki huku nimesimama hahahhaha labda kwa kutumia mopa. Sasa uvunguni ntasafishaje..... hehehehehe shurti deki ulipige ukiwa umeinama.
Kwangwaru. ......Sielewii.
Yule dogo kanichekesha sana..Mh kuna Dogo anatafuta Mpenzi miaka 18-40, yeye ana miaka 20 kama utawaona huko wanawake wa hivyo mpigie simu ngoja nikuletee no zake.
Hujambo lakini.
Mjinga sana .Yule dogo kanichekesha sana..
Angalia ulimbo usinase hd vidagaaManeno sina ila mashahiri ninayo nikiwa mwaka hapa ni sawa na kumwaga ulimbo. ... watu watanasa buree hehehehehehe
Jina langu linaanziwa na K sio C.
Kasie Matata mie sio casie banaa.