Kasieee matata mwenye mahaba yakeeew
Mh kuna Dogo anatafuta Mpenzi miaka 18-40, yeye ana miaka 20 kama utawaona huko wanawake wa hivyo mpigie simu ngoja nikuletee no zake.
Hujambo lakini.
Heheheheh nitumie Kavideo nione uchezavyo!Hizo namba wapelekee love connect mie niko bega kwa bega nafundisha huku nafundishwa kucheza kwangwaru.
Sijambo na niko mzima wa afya telee. Na kama huyo dogo amesema anataka Kasie awe mamsapu wake heheheheheeheheee mwambie amechelewa.
Wasikae midoma wazi tu na nzi wakafanya makao yaoMwaka wa uchaguzi huu heheheee
Na matokeo yakitoka yatastaajabisha wengi hakika na kuwaacha midomo wazi.
Mapipa gani unatumia haya yetu au?Njoo uone... ila ukifanikiwa kuchungulia pipa.