Kule kuna majasusi wa Mossad na CIA ndio wanaochochea maandamano kwa maslahi ya Israel na Marekani, na wanaoandamana wengi wanakua nyumbu tu hawaelewi athari za wanachokifanya. Umeongea point muhimu kua Iran inasumbuliwa na vikwazo tu vya Marekani na kinachowaponza ni kua wamekataaa kua vibaraka kama Saudia na UAeHawa watakuja kujuta kama Walibya tu.
Kwa tuliowahi kuishi Iran tunajua kule viongozi wao na wananchi wao wana msemo wao kwamba "Iran is made for Iranians".... huo msemo hutumika kulenga kwenye rasilimali zao kwamba zipo kwa ajili ya kunufaisha Wairan
Kule Iran mafisadi hukiona cha moto, wavunja sheria wanashughulikiwa haijalishi we ni bilionea au nani ukiwepa kodi au kutakatisha pesa au ukiibia nchi mapesa ukaenda ficha nje unakula kitanzi tena hadharani.
Vyakula ni bei rahisi sana, ukiwa na milioni moja ya Bongo pale Iran unasavaivu mwaka mzima, vyakula ni bei chee sana hususan mchele tena ule wa Basmat.
Kwa ambao ni wachanga nawakumbusha tu kuwa Ni wairan hao hao waliandamana kumtoa Shah wakitaka mfumo wa Kiislam, ni Wairan hawa hawa walipiga kura ya maoni kwa asilimia 95 wakitaka nchi yao iongozwe na mfumo wa kiislam kwa kiasi fulani....
Gesi, mafuta ni bei rahisi sana umeme ni masaa 24, huduma za afya zipo vizuri sana kule mtu kufa kwa kukosa dawa au matibabu ni nadra sana kitiba wapo vizur sana.
Watu wanapata vitu vya msingi karibia vyote ndo maana hawakimbii nchi yao.. Changamoto ambayo ipo ni vikwazo tu na suala la ajira lakini serikali inatoa fungu la kila mwezi kwa wasio na ajira.
Ukiangalia ndo nchi yenye wanasayansi wengi wanawake wa kule ni wasomi sana.
Wana viongozi wazalendo ambao hawauzi bandari zao kwa mikataba ya kibwege,hawauzi gesi na madini kwa kubadilishana na condom na vilainishi kama huku.Venezuela ni kama tz tu nchi ilikua inaendeshwa kihuni watu wanatekwa hali mbaya na ufisadi wa kutisha....
Sijui wanaandamania nini? Matatizo yao wanafahamu fika yanasababishwa na vikwazo.....Imagine Iran wasingekua na vikwazo wangekua level ya Japan...
Sisi ndo tunapaswa kuandamana maana hii nchi yetu imeoza kila pahali, ccm wameigeuza hii nchi kuwa mnada na chaka la upigaji, huu ujinga huwezi kuukuta Iran...Na mazuri yote wanajazwa upepo waandamane...
Libya,Iran, Qatar, Kuwait, UAE,Oman ndo nchi ambazo watu wake hawapaswi kuandamana kabisa maana viongozi wao ni wazalendo na wameleta maendeleo makubwa sana
My take:Wairan watajuta mara elfu zaidi ya walibya....Hawajui wanachoandamania....
JF bwana, kwahiyo kwa akili zako unadhani kiongozi anayekuja baadaya Khamenei ndio atakua friendly kwa US? hizi assumptions mnatoaga wapi? If anything atakua extremist kuliko sasa. Kwani mapinduzi ya 1978/9 hapo Iran walitarajia nini na wakaishia kupata nini?Ayatollah na genge lake wanaona sifa kuimba "death to america" huku hamna kitu cha maana wanachofanya. Nchi haina maji, umeme, ajira hizo rasilimali zinawasaidia nini wananchi? Watu wamechoka kuisha kama mazombi kama wabongo walivyoichoka ccm ya samuya.
Something something Saudia!! Au sababu ni ally wa USA basi automatically anakua sio dikteta?Hakuna nchi ya kidikteta ambayo wananchi wana maisha mazuri. Hizi nchi zina vitu in common; Uongozi mbovu na umasikini wa raia wake. Ni aheri nchi za kifalme.
Huwezi mtawala kidikteta mtu mwenye maisha standard.
(Russia tuiweke kama exception)
Taarifa hii kuhusu Iran inaonyesha upande mmoja tu wa hali halisi na inahitaji kukosolewa kwa uwiano.Hawa watakuja kujuta kama Walibya tu.
Kwa tuliowahi kuishi Iran tunajua kule viongozi wao na wananchi wao wana msemo wao kwamba "Iran is made for Iranians".... huo msemo hutumika kulenga kwenye rasilimali zao kwamba zipo kwa ajili ya kunufaisha Wairan
Kule Iran mafisadi hukiona cha moto, wavunja sheria wanashughulikiwa haijalishi we ni bilionea au nani ukiwepa kodi au kutakatisha pesa au ukiibia nchi mapesa ukaenda ficha nje unakula kitanzi tena hadharani.
Vyakula ni bei rahisi sana, ukiwa na milioni moja ya Bongo pale Iran unasavaivu mwaka mzima, vyakula ni bei chee sana hususan mchele tena ule wa Basmat.
Kwa ambao ni wachanga nawakumbusha tu kuwa Ni wairan hao hao waliandamana kumtoa Shah wakitaka mfumo wa Kiislam, ni Wairan hawa hawa walipiga kura ya maoni kwa asilimia 95 wakitaka nchi yao iongozwe na mfumo wa kiislam kwa kiasi fulani....
Gesi, mafuta ni bei rahisi sana umeme ni masaa 24, huduma za afya zipo vizuri sana kule mtu kufa kwa kukosa dawa au matibabu ni nadra sana kitiba wapo vizur sana.
Watu wanapata vitu vya msingi karibia vyote ndo maana hawakimbii nchi yao.. Changamoto ambayo ipo ni vikwazo tu na suala la ajira lakini serikali inatoa fungu la kila mwezi kwa wasio na ajira.
Ukiangalia ndo nchi yenye wanasayansi wengi wanawake wa kule ni wasomi sana.
Wana viongozi wazalendo ambao hawauzi bandari zao kwa mikataba ya kibwege,hawauzi gesi na madini kwa kubadilishana na condom na vilainishi kama huku.Venezuela ni kama tz tu nchi ilikua inaendeshwa kihuni watu wanatekwa hali mbaya na ufisadi wa kutisha....
Sijui wanaandamania nini? Matatizo yao wanafahamu fika yanasababishwa na vikwazo.....Imagine Iran wasingekua na vikwazo wangekua level ya Japan...
Sisi ndo tunapaswa kuandamana maana hii nchi yetu imeoza kila pahali, ccm wameigeuza hii nchi kuwa mnada na chaka la upigaji, huu ujinga huwezi kuukuta Iran...Na mazuri yote wanajazwa upepo waandamane...
Libya,Iran, Qatar, Kuwait, UAE,Oman ndo nchi ambazo watu wake hawapaswi kuandamana kabisa maana viongozi wao ni wazalendo na wameleta maendeleo makubwa sana
My take:Wairan watajuta mara elfu zaidi ya walibya....Hawajui wanachoandamania....
Wanalenga kumleta Prince Pahlavi, mtoto wa Mohamed Reza Pahlavi aliyeondolewa mwaka 1979.JF bwana, kwahiyo kwa akili zako unadhani kiongozi anayekuja baadaya Khamenei ndio atakua friendly kwa US? hizi assumptions mnatoaga wapi? If anything atakua extremist kuliko sasa. Kwani mapinduzi ya 1978/9 hapo Iran walitarajia nini na wakaishia kupata nini?
Absolutely monarchy they are. Unadhani hats sisi tungekuwa nchi ya kifalme tungevutana?Something something Saudia!! Au sababu ni ally wa USA basi automatically anakua sio dikteta?
Huyo Hana ushwahishi Iran, hawazi rudi kwenye utawala wa SHAH!Wanalenga kumleta Prince Pahlavi, mtoto wa Mohamed Reza Pahlavi aliyeondolewa mwaka 1979.
VITA SHISHAA UKIMALIZA TULUJJBUUHawa watakuja kujuta kama Walibya tu.
Kwa tuliowahi kuishi Iran tunajua kule viongozi wao na wananchi wao wana msemo wao kwamba "Iran is made for Iranians".... huo msemo hutumika kulenga kwenye rasilimali zao kwamba zipo kwa ajili ya kunufaisha Wairan
Kule Iran mafisadi hukiona cha moto, wavunja sheria wanashughulikiwa haijalishi we ni bilionea au nani ukiwepa kodi au kutakatisha pesa au ukiibia nchi mapesa ukaenda ficha nje unakula kitanzi tena hadharani.
Vyakula ni bei rahisi sana, ukiwa na milioni moja ya Bongo pale Iran unasavaivu mwaka mzima, vyakula ni bei chee sana hususan mchele tena ule wa Basmat.
Kwa ambao ni wachanga nawakumbusha tu kuwa Ni wairan hao hao waliandamana kumtoa Shah wakitaka mfumo wa Kiislam, ni Wairan hawa hawa walipiga kura ya maoni kwa asilimia 95 wakitaka nchi yao iongozwe na mfumo wa kiislam kwa kiasi fulani....
Gesi, mafuta ni bei rahisi sana umeme ni masaa 24, huduma za afya zipo vizuri sana kule mtu kufa kwa kukosa dawa au matibabu ni nadra sana kitiba wapo vizur sana.
Watu wanapata vitu vya msingi karibia vyote ndo maana hawakimbii nchi yao.. Changamoto ambayo ipo ni vikwazo tu na suala la ajira lakini serikali inatoa fungu la kila mwezi kwa wasio na ajira.
Ukiangalia ndo nchi yenye wanasayansi wengi wanawake wa kule ni wasomi sana.
Wana viongozi wazalendo ambao hawauzi bandari zao kwa mikataba ya kibwege,hawauzi gesi na madini kwa kubadilishana na condom na vilainishi kama huku.Venezuela ni kama tz tu nchi ilikua inaendeshwa kihuni watu wanatekwa hali mbaya na ufisadi wa kutisha....
Sijui wanaandamania nini? Matatizo yao wanafahamu fika yanasababishwa na vikwazo.....Imagine Iran wasingekua na vikwazo wangekua level ya Japan...
Sisi ndo tunapaswa kuandamana maana hii nchi yetu imeoza kila pahali, ccm wameigeuza hii nchi kuwa mnada na chaka la upigaji, huu ujinga huwezi kuukuta Iran...Na mazuri yote wanajazwa upepo waandamane...
Libya,Iran, Qatar, Kuwait, UAE,Oman ndo nchi ambazo watu wake hawapaswi kuandamana kabisa maana viongozi wao ni wazalendo na wameleta maendeleo makubwa sana
My take:Wairan watajuta mara elfu zaidi ya walibya....Hawajui wanachoandamania....
Tawala zipi zinafosi watu kuwa mashoga?Lakini tawala zinazofosi watu wawe mashoga unapaswa kuachwa s ndio
Wewe nikikuambia uchague kati ya kuwa shoga na kulawilitiwa au mke wako avae mavazi ya heshima utachagua kipi?
Lakini tawala zinazofosi watu wawe mashoga unapaswa kuachwa s ndio
Wewe nikikuambia uchague kati ya kuwa shoga na kulawilitiwa au mke wako avae mavazi ya heshima utachagua kipi?
Kimsboy: Unajiuliza Mkuu? Jamaa zako wamekuwa possessed na Israel na Amerika! Wakilala "Death to America" "Death to Israel" Wakiamka wimbo nu ni huo huo! Miaka na Miaka! Huu wimbo umewachosha wananchi wake! Unajua ni mamilioni mangapi wamepoteza Kwa Hezbollah? Kwa HAMAS? Syria?Wairan wangapi wamepoteza maisha yao Lebanon! Laiti angalau ungesema wamekeza na pesa itarudi! Hakuna lolote lile walilopata!Hawa watakuja kujuta kama Walibya tu.
Kwa tuliowahi kuishi Iran tunajua kule viongozi wao na wananchi wao wana msemo wao kwamba "Iran is made for Iranians".... huo msemo hutumika kulenga kwenye rasilimali zao kwamba zipo kwa ajili ya kunufaisha Wairan
Kule Iran mafisadi hukiona cha moto, wavunja sheria wanashughulikiwa haijalishi we ni bilionea au nani ukiwepa kodi au kutakatisha pesa au ukiibia nchi mapesa ukaenda ficha nje unakula kitanzi tena hadharani.
Vyakula ni bei rahisi sana, ukiwa na milioni moja ya Bongo pale Iran unasavaivu mwaka mzima, vyakula ni bei chee sana hususan mchele tena ule wa Basmat.
Kwa ambao ni wachanga nawakumbusha tu kuwa Ni wairan hao hao waliandamana kumtoa Shah wakitaka mfumo wa Kiislam, ni Wairan hawa hawa walipiga kura ya maoni kwa asilimia 95 wakitaka nchi yao iongozwe na mfumo wa kiislam kwa kiasi fulani....
Gesi, mafuta ni bei rahisi sana umeme ni masaa 24, huduma za afya zipo vizuri sana kule mtu kufa kwa kukosa dawa au matibabu ni nadra sana kitiba wapo vizur sana.
Watu wanapata vitu vya msingi karibia vyote ndo maana hawakimbii nchi yao.. Changamoto ambayo ipo ni vikwazo tu na suala la ajira lakini serikali inatoa fungu la kila mwezi kwa wasio na ajira.
Ukiangalia ndo nchi yenye wanasayansi wengi wanawake wa kule ni wasomi sana.
Wana viongozi wazalendo ambao hawauzi bandari zao kwa mikataba ya kibwege,hawauzi gesi na madini kwa kubadilishana na condom na vilainishi kama huku.Venezuela ni kama tz tu nchi ilikua inaendeshwa kihuni watu wanatekwa hali mbaya na ufisadi wa kutisha....
Sijui wanaandamania nini? Matatizo yao wanafahamu fika yanasababishwa na vikwazo.....Imagine Iran wasingekua na vikwazo wangekua level ya Japan...
Sisi ndo tunapaswa kuandamana maana hii nchi yetu imeoza kila pahali, ccm wameigeuza hii nchi kuwa mnada na chaka la upigaji, huu ujinga huwezi kuukuta Iran...Na mazuri yote wanajazwa upepo waandamane...
Libya,Iran, Qatar, Kuwait, UAE,Oman ndo nchi ambazo watu wake hawapaswi kuandamana kabisa maana viongozi wao ni wazalendo na wameleta maendeleo makubwa sana
My take:Wairan watajuta mara elfu zaidi ya walibya....Hawajui wanachoandamania....
Sio warani wanao andamana ni watu kutoka nchi jiraniHawa watakuja kujuta kama Walibya tu.

Binadamu wanaweza kukuweka mwaka huu madarakani halafu mwaka kesho tu wakakuchoka na kukutaka uondoke kabisa, sasa huo Utawala wa Ayatollah uko tangu mapinduzi ya 1979 na huwa haupigiwi kura, makamu wanachaguana wenyewe tu.Shithole wakati hiyo hiyo serikali ya kiislam iliwekwa na wananchi wenyewe?
Udikteta wa utawala wa kidini(Theocracy).Udikteta upi upo Iran?
Nchi za Kifalme ambazo sio ufalme wa kikatiba(constitutional monarchy) kama Saudi Arabia ni za kidikiteta. Pia zipo nchi za kidikiteta zenye maisha mazuri kiasi kama China, Vietnam, Saudi Arabia, Oman n.kHakuna nchi ya kidikteta ambayo wananchi wana maisha mazuri. Hizi nchi zina vitu in common; Uongozi mbovu na umasikini wa raia wake. Ni aheri nchi za kifalme.
Huwezi mtawala kidikteta mtu mwenye maisha standard.
(Russia tuiweke kama exception)
Tusingevutana kama wote tungekuwa dini moja na kabila moja. Kwa makabila zaidi ya 100 na hizo dini kuu mbili labda huo ufalme ungekuwa unapokezanwa kwa dini kati ya Kobaz na Wagalatia na makabila tofauti kila mwaka ndio tusingechapana kama wendawazimu.Absolutely monarchy they are. Unadhani hats sisi tungekuwa nchi ya kifalme tungevutana?