Sielewi ulimpataje huyu Manziii,Mx

dazipozi

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
1,137
106
Dah!yani wewe mshikaji sijui umepataje huyu mtoto wa kike,kiukweli wewe hustaili kuwa na mwanamke kama huyo,hufai hata kidogo tabia yako sio nzuri ni mshenzzzy kishezy,kicheche wa kiume,liar so nimeamua by any means nakutemesha mzigo tena mwezi huu hauishi..siwezi nika kuacha umize moyo wa Binti Mpolee kama huyu,aiwezekani fahamu najua kuwa unavita mimi kaka,nimechoka na tabia zako mbovu na zinazonuka kama Mzogo...stay tune boy,Mx
 
GM vs Lzy like

Back
Top Bottom