Sielewi ulimpataje huyu Manziii,Mx

Sielewi ulimpataje huyu Manziii,Mx

kijana si ungemtumia PM ili mmalizane kiustaarabu kule bila kunufaisha Jamii hapa... sasa unaweka uzi hapa wengine hatuelewi ni nini kimetokea au ni nani unaemtuhumu pia hatuna uhakika kama ni mwanachama hapa. kuwa kidume jasiri mtokee pm mfikishie ujumbe. ikiwezakana hata huyo unaetaka kumnusuru mfikishie ujumbe pia..ILA isije kuwa unatumia gia ya kumnusuru kumbe unataka kufanya mapinduzi.
 
Back
Top Bottom