Sielewi sababu za Mbeya kuwa jiji

Sielewi sababu za Mbeya kuwa jiji

evart

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2016
Posts
2,838
Reaction score
2,774
Kama kichwa cha mada kinavyojieleza,

Mimi ni mwenyeji wa Mbeya mjini, kwa muda mrefu lakini mi ukweli sioni sababu za msingi za kuipatia Mbeya hadhi ya jiji yaani mji upoupo tu labda wajuvi mnieleze kama kuna sababu za kufanya Mbeya kuwa jiji.

Nawasilisha.
 
Kwanza mi cjui tz tuna jumla ya majiji mangapi kabla hatujaenda mbali naomba mnisaidie hapo kwanza.
 
Ata mimi mkazi wa mbeya lkn sijui walitumia kigezo gan kuupa jiji?

Ukiiacha uyole kuja mbarali ni mapori 85%
Bora walivyougawanya labda
 
Kama kichwa cha mada kinavyojieleza,

Mimi ni mwenyeji wa Mbeya mjini, kwa muda mrefu lakini mi ukweli sioni sababu za msingi za kuipatia Mbeya hadhi ya jiji yaani mji upoupo tu labda wajuvi mnieleze kama kuna sababu za kufanya Mbeya kuwa jiji.

Nawasilisha.
naona hujasafiri miji mingine ukaona. kama kuna majiji mengine mbali na dar basi na mbeya imo tena kwa viwango vya juu labda baada ya mwanza. pita miji ambayo bado sio majiji kisha linganisha na mbeya
 
Nimetembea kote huko ,Mimi si mjinga nikurupuke kuanzisha mada nisioijua!
 
Back
Top Bottom