Sielewi nini tatizo labda mnisaidie

wanaangaliga upepo hao ,wakiona umezimika sana wanakuzingua.kama ulionyesha mapenzi sana kilamara unampigia simu anakuchukulia hunauwezo wakumpata mwingine,chamsingi kula buyu usimtafte utaona atakavyojirudi.
 
MkUu nimeHonGa niMetoA maheLaaa ilA ndo hIvyo no more Love Now for me. NkipatA binDukI ntAmRarua nKimUona

heeee wanawake wote hawa unataka kumuua mtu kisa umegharamika ,kuna watu tumegharamia mtoto ,mama na wadogize familia na bado tumetengana kwa sababu za kiulimwengu.
 

Maliza shule kwanza! Mapenzi baadae
 

Itakuwa ni ajabu kama usipo achwa.
 
utAki UnAaacha. Halafu hapa jf kumevamiwa na miwatyuuuyafesibuju na wanapostyiipumbaaa tyuu mpakajukwaaalimeanzaboa sikuhizi.
Teh Teh kusema ukweli ingekuwa ni vigumu wewe kuto achwa maana ni wazi uko rough! Unavyo kera watu kwa uandishi huu mbaya na wa ajabu ndivyo ulivyo mkera kwenye mambo mengine akakuchoka na kuamua kukuacha.

Kifupi una mambo ya kitoto achana nayo na hakuna atakaye weza kukuvumilia hakika.
Samahani lakini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…