SmAlL pDiDy. jr
JF-Expert Member
- Dec 27, 2014
- 392
- 133
Hivi nini hasa sababu za wanawake kuamua kukata mawasiliano ghafla na wapenzi wao?
Nina mpenzi wangu ameamua kukata mawasiliano ghafla sasa sijui ni tabia ya kike au ndo nishaachwa.
Naombeni mnipe ushauri au sababu zinazosababisha mtu kukata mawasiliano ghafla na mpenzi wake.