Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,080
- 165,197
teh haya bana mtibu na akipona jiandae kupewa marupurupu....!!!Yaani nimuongezee ugonjwa?
au na mimi niathirike na ugonjwa?
nia ni kumsaidia apone.....
Jaribu kuweka ujazo wa maelezo ili tukusaidie hiyo kitu.
Inauma kwenye ukuta wa ndani, au inauma kwenye kiingilio (mlango wa k)?
Kanda na maji ya moto...nasikia ndio wanavyofanyiwa wadada walioolewa wakiwa hawajaguswa...inawezekana umepata same effect kama ma bikra...
Pole sana dada. Dawa hii hapa...
Chukua kitunguu saumu, tangawizi, kinguu cha kawaida na pilipili kichaa au manga. Changanya kwenye kinu kidogo twanga hadi iwe unga.
Chemsha huo unga unga/mchanganyika kwa nusu dakika. Then kamua maji yake kama glass tatu.
Hayo maji utaoshea pale panapouma asubuhi mchana na jioni
All the best!!
Nina mpenzi wangu tangu tumeanza mahusiano tumekaa mwaka bila kufanya mapenzi.
Wiki moja iliyopita tulifanya kwa mara ya kwanza.
Lakini sasa leo ni siku ya sita hii kitu bado inauma.
Embu nisaidieni ni kawaida nimekaa muda mrefu bila kuduu au jamaa atakuwa na kitu kikubwa kuliko kitu yangu au ni nini.
Ndugu unamtakia mema mwenzio kweli? Pilipili kichaa kwenye k? Jamani na tangawizi kwenye K? Mmmmhh!!! Loh! Huu ni uaji......
Chemsha maji ya moto tia chumvi kisha uikande kitu yako utapata nafuu.
meza diclopar upumzike...pole!!!
Nina mpenzi wangu tangu tumeanza mahusiano tumekaa mwaka bila kufanya mapenzi.
Wiki moja iliyopita tulifanya kwa mara ya kwanza.
Lakini sasa leo ni siku ya sita hii kitu bado inauma.
Embu nisaidieni ni kawaida nimekaa muda mrefu bila kuduu au jamaa atakuwa na kitu kikubwa kuliko kitu yangu au ni nini.
Kamsaidie mwenzako, anaumia
kwani alikufanya sana?
aisee hiyo kwenye avatar ni ghorofa mkuu, kama ameingiliwa naghorofa ,aende hospitali haraka sana.....hahahahaha.....nahisi ameingiliwa na kitu kikubwa kama hicho kwenye avatar yako mkuu,, umeiona???
teh haya bana mtibu na akipona jiandae kupewa marupurupu....!!!
nimsaide kufanyaje ha ha ha kwani kusuguliwa alisaidiwa!!!