jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,951
- 29,532
Habari zenu wadau haswa wale ambao ni wachumi!
Nikirudi kwenye mada tajwa hapo juu nachelea kusema kuwa sielewi au sijaona mchango wa haya yanayoitwa majiji kwenye pato la Taifa kiasi cha baadhi ya vichwa panzi wa UKAWA kutupigia kelele eti CCM inaumizwa sana na kupokwa uongozi wa kisiasa wa majiji haya.
Sielewi mchango wahaya majiji kwenye Mfuko wa Hazina kiasi cha kunadiwa kihivyoo!!
Je haya majiji yanajitegemea ...kwamba hayapati ruzuku kutoka serikali kuu?
Je haya majiji yanaexport bidhaa zinazotuingizia dola kiasi cha kuyategemea kama Taifa?
Hebu niambieni manispaa za majiji haya zinasimamia au kumiliki nini hasa kinachotuingizia kipato kama Taifa?
Leo hii majiji haya yako chini ya UKAWA je kuna jipya lipi litakaloongezeka kwa ustawi wa Taifa??
Hebu wachumi nifafanulieni nielewe!