Sielewi Kwanini Wamwite Ronaldo Goal Machine!

Khan

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
6,174
2,000
Ndugu Zangu wapenda soka Naombeni Mnijuze Kwanini Huyu Ronaldo wanamwita Goal Machine?

Huu si uongo wa wazi wazi kabisa maana ukiangalia Messi ana Scoring Ratio Kubwa Kuliko CR7Lionel Messi is just 9 goals behind Cristiano Ronaldo despite having played 100 games less
 
  • Thanks
Reactions: PNC

Eng Inc

JF-Expert Member
Feb 3, 2017
499
1,000
Mkuu katika hizo statistics ata siku moja huwezi kubadilisha wapenzi wa Ronaldo wawe kwa Messi and vice versa. Kwa mimi naungana na Neymar kwamba kama ni mguu wa kulia basi ni Ronaldo na kama ni mguu wa kushoto basi ni Messi mengine ni ujinga.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom