Sielewi kwanini Mbunge wetu Godbless Lema anasota rumande licha ya kuwa na wanasheria wabobezi

Ala kumbe mnawatusi watu kwa kutegemea akina Tundu Lissu,nadhani hakuna anayestahili kumtusi mwenzake huku akitegemea mawakili,heshima kitu cha buree ,akina Lissu wamechoka na Lema na jua kesi za kujitakia ni kuingia gharama za bure na kupoteza wakati.wacha achezee debe
Hawa vijana wa ufipa wameshaishiwa kifikra

Mtoa post mpaka Leo haelewi kwann lema bado anasota rumande??

Kesi za lema ni za kujitakia na inaonekana lema na Mke wake wote wanavuta bangi kwa busara huwezi kumtumia meseg km ile Mkuu wa Mkoa

Nimewadharau sana lema pamoja na mke wake,sijui wanajenga picha gan kwa watoto wao

Chama kimeamua kukaa kimya kwa sabb kimeona kinapoteza bure ruzuku kwenye kesi za kinaaaaa km hizi
 
Kwani CCM ndio iliyomtuma atukane na kumombea mtu kifo,asiyefunzwa na ***** dunia itanfundisha,wacha sheria ifuate mkondo wake
Well said,

Huwezi kumwombea mtu kifo na kutangaza hadharani ety fulan atakufa kabla ya 2020 tena MBAYA ZAIDI NI RAIS WA NCHI,very pain

Hawa ndo vijana tunaowategemea pale Bungeni ili waje watusaidie

Kuwa na busara(staha) ni jambo la msingi sana!
 
Mandela alikaa miaka 30 jela yeye hata mwezi bado, huo ndio ukamanda wa kweli.
 
Kwani CCM ndio iliyomtuma atukane na kumombea mtu kifo,asiyefunzwa na ***** dunia itanfundisha,wacha sheria ifuate mkondo wake
Aiseeeee! Umewapa jibu linalotosheleza. Halafu si walisema Lema asipopeww dhamana watakinukisha? Kweli wana Arusha wameshamchoka Lema
 
Mh. Godbless Lema!! Ni mwanaharakati, mzalendo, mpigania haki kama wapigania haki wengine hasa upinzani, kinachoendelea huko, tumekuwa tumefungwa macho, hatujui kinachoendelea. Kiukweli kama mtoa hoja alivyosema na kama yupo sahihi, kusema ukweli chama changu hamjatenda haki.. Mh.@tundu lisu please najua kuna jitihada zinazifanywa kuhakikisha mh. lema anapata dhamana lakini tunaomba jitihada zaidi ziongezwe zaidi na zaidi...mpaka haki ipatikane....

Mungu mbariki mpigania haki mwenzetu, Mungu ibariki Tanzania,

N.B

Mungu naomba huyo mtu anayeikandamiza haki yetu, Umsamehe.! Usimlaani ila muonye kuwa anachokifanya hata yeye anaweza kufanyiwa.
Anayekandamiza haki za watu afe tu ili dunia ibaki mahala salama pa kuishi.
 
Ungeelewa maana ya mtukufu.ungeona bora neno dikteta uchwara kuliko neno mtukufu.pole kwa ufahamu wako mdogo mtukufu ni dhihaka zaidi.
Tena kuonesha kwamba neno mtukufu is worse than dikteta uchwara ilibidi lisu ashtakiwe tena.
 
Well said,

Huwezi kumwombea mtu kifo na kutangaza hadharani ety fulan atakufa kabla ya 2020 tena MBAYA ZAIDI NI RAIS WA NCHI,very pain

Hawa ndo vijana tunaowategemea pale Bungeni ili waje watusaidie

Kuwa na busara(staha) ni jambo la msingi sana!
Acheni usokoronyoko nyinyi, kwani alimuombea kifo au alioneshwa maono? Na mnajua maana ya maono nyinyi bata maji?
 
Mh. Godbless Lema!! Ni mwanaharakati, mzalendo, mpigania haki kama wapigania haki wengine hasa upinzani, kinachoendelea huko, tumekuwa tumefungwa macho, hatujui kinachoendelea. Kiukweli kama mtoa hoja alivyosema na kama yupo sahihi, kusema ukweli chama changu hamjatenda haki.. Mh.@tundu lisu please najua kuna jitihada zinazifanywa kuhakikisha mh. lema anapata dhamana lakini tunaomba jitihada zaidi ziongezwe zaidi na zaidi...mpaka haki ipatikane....

Mungu mbariki mpigania haki mwenzetu, Mungu ibariki Tanzania,

N.B

Mungu naomba huyo mtu anayeikandamiza haki yetu, Umsamehe.! Usimlaani ila muonye kuwa anachokifanya hata yeye anaweza kufanyiwa.
Hakuna kusamehewa hapa !
 
Kumfananisha Mandela na huyo mpuuzi wenu ni wendawazimu
Ni sawa na yule aliyetoa thread ya kumlinganisha raisi Jose wa Paraguay na Magu, sasa na mimi nichukue sentensi yako

Kumlinganisha raisi Jose wa Paraguay na huyo ******* wenu ni uwendawazimu. inasound vipi hiyo?
 
Aiseeeee! Umewapa jibu linalotosheleza. Halafu si walisema Lema asipopeww dhamana watakinukisha? Kweli wana Arusha wameshamchoka Lema
Lema hajachokwa na in fact wakati tuko pale nje mahakaman tunasubr tukiwasheeeee, brother lema akatuomba tusifanye chochote kwasabab kwenda jela ni part ya ukamanda, hii ni arusha bhana raisi wetu lema akitoa maagizo kinuke ni kinanuka areef, ushanidere? si uliskia juzi tuluvowanukishia wale wamiliki wa mgodi wa Tanzania one, ishu tu ni kwamba we respect elders and our leaders, we can't do anything against their directives.
 
Back
Top Bottom