Sielewi kuhusu 5000 years civilization ya wachina, wahindi, arabs, persians &co.!

Sielewi kuhusu 5000 years civilization ya wachina, wahindi, arabs, persians &co.!

Status
Not open for further replies.
Makafiri bwana

We unazan mambo yanajiendea kama unavotaka ww na mchangaji wako uko kanisani?

Kila jamii inamchango wake kwenye hii sayansi ya leo sio hao wazungu tu wameibuka na kufanya

Jielimishe kwanza ndugu kondoo
Screenshot_20250816-130453.png

Nimekupa hii tips ingawa haihusiani na hoja ila itakusaidia kujua kua kuna aya hua hamtaki kuzi address cz mnaenda nazo tofaut!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom