sir doctor JF-Expert Member Joined Jun 21, 2016 Posts 291 Reaction score 66 Oct 21, 2016 #1 Wadau hebu nisaidieni kuna watu wakiangalia profile zao za bodi ya mikopo wanaandikia NOT ALLOCATED FOR FIRST BATCH wengine wanawekewa LOAN BREAKDOWN pasipo kujaziwa amount sasa tofauti iko wapi ???
Wadau hebu nisaidieni kuna watu wakiangalia profile zao za bodi ya mikopo wanaandikia NOT ALLOCATED FOR FIRST BATCH wengine wanawekewa LOAN BREAKDOWN pasipo kujaziwa amount sasa tofauti iko wapi ???
Ze Heby JF-Expert Member Joined Jun 22, 2011 Posts 5,957 Reaction score 6,837 Oct 21, 2016 #2 Not allocated means hajapata batch ya kwanza Akiwekewa break down means amepata lakini kwa sababu ya mtandao inaonesha sifuri sifuri
Not allocated means hajapata batch ya kwanza Akiwekewa break down means amepata lakini kwa sababu ya mtandao inaonesha sifuri sifuri
sir doctor JF-Expert Member Joined Jun 21, 2016 Posts 291 Reaction score 66 Oct 21, 2016 Thread starter #3 Sawaaa
princes Nicah Member Joined Sep 11, 2016 Posts 43 Reaction score 27 Oct 21, 2016 #4 Nimechoka kukaa kitaa... Sijui hata hiyo batch ya pili itatoka lini[emoji27]
dexterous JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 2,037 Reaction score 3,149 Oct 21, 2016 #5 itakuwa umepata
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 102,675 Reaction score 126,934 Oct 21, 2016 #6 ok