Sielewi cha kufanya...!

Sasa hapa tunaanza kuelewana, ila bado mpaka utaje pounds ngapi.

authority ni yako..! sema wewe watakaje, mi kwa siku naanzia 500 pounds.. usafiri, meals and allowances nyingine nje! upo?
 
authority ni yako..! sema wewe watakaje, mi kwa siku naanzia 500 pounds.. usafiri, meals and allowances nyingine nje! upo?
Hapo sawa, hata mgomo sitaleta, na kugoma kukaa kisa haki sawa, mie akaaaaaaaaaaaaa.... ila bunge lako hilo tutakua tunaongelea nini? Katiba ya jf?
 
Hapo sawa, hata mgomo sitaleta, na kugoma kukaa kisa haki sawa, mie akaaaaaaaaaaaaa.... ila bunge lako hilo tutakua tunaongelea nini? Katiba ya jf?

swali zuri... kwa kweli bunge langu limebase katika nyanja kuu za kifalme zaidi!

si unajua mi ndo KING Excel?
 
Last edited by a moderator:
Yes... Yes King, lini utatangaza wabunge wote niwafahamu wenzangu?

pole pole basi, utaamsha watu bana... ngoja ntakupa mfumo wa uendeshaji bunge.. mke wangu atakuwa firstlady then mambo mengine yatafuatia..
 
pole pole basi, utaamsha watu bana... ngoja ntakupa mfumo wa uendeshaji bunge.. mke wangu atakuwa firstlady then mambo mengine yatafuatia..

BAS NGOJA NIKUNONG'ONEZE KING 'Mkeo atakua firstlady lini ilhali we ushakua King?'
 
namgoja Shixi889 kwa hamu sana aniambie ana miaka mingapi ss mpaka ahamasike kuolewa fasta hivyo!!!

halafu aniambie anamtaka nani hasa!! hapo sasa itabidi apende kwa lazima!

priti nikuulize swali binafsi, ww umeolewa ama la?!! jibu plz!

Morning Excel!!!! unajua siku hazigandi zakimbia haswa ila nko kati ya 30-35 soo nakuachia mwenyewe hapo ungamue, kwenye ninae mtaka hasa kwanza awe God fearing man na mengneyo....!!!!
 
Last edited by a moderator:
Dr.Mo well said ni kama vile u know me...!!! kidogo nishtuke ...!!!!! but sina pozi kabsa thou ni kweli nafahamiana na watu wachache sjui ni makuzi au ndo jinsi nlivyo tu and thanks again kwa ushauri wako ntajitahidi sana kuufanyia kazi.
 
Last edited by a moderator:

Ushauri wangu kwako..naona bado wakati wako haujafika ndoa dada yangu sio maigizo bana unapomuona mtu ametangaza kuoa ujue wakati umefika hana namna lazma aoe inavyoonekana wewe na hao majamaa zako wote wkt wa kuingia ktk ndoa bado ndio umri unaruhusu ila muda bado,muda ukifika atatokea wa kukuoa na sizan kama utahitaji muda wa kumchunguza,sizan km hatakuja kuwa na type ambazo wazaz wako wanavyotaka atatokea mtu frm no where ukampenda akakupenda ukafunga nae ndoa muweke mungu mbele
 
We fall in love by chance we stay in love by choice, a great marriage is not when the perfect couple comes together. It is when an imperferct couple learns to enjoy their differences.
 
Hapa umenena huyu bado muda wake haujafika muda ukifika utasahau hadi hayo maneno ya wazaz usicheze na kupenda wewe aisee afu mi naona ukimchunguza bata sana huwezi kumla
 
Hapa umenena huyu bado muda wake haujafika muda ukifika utasahau hadi hayo maneno ya wazaz usicheze na kupenda wewe aisee afu mi naona ukimchunguza bata sana huwezi kumla

True azingatie nilichomueleza..Muda ni kila kitu ktk maisha yako kuwa mvumilivu muda utafika atakuja mtu hata hautamzania ndie atakae kuoa ila usipokuwa mvumilivu wadanganyifu mabazaz wengi utabaki kuzalishwa na kuachwa nyumban
 
Well spoken!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…