Kwa ninavyoamini wazazi ni Mungu wa pili ndo maana kwa sisi tuna amri isemayo waheshimu baba yako na mama yako upate miaka mingi na heri duniani kama sjakosea the last part .....!!!!!soo nawasikiliza cz wanaplay a very big part in my life kwa hapa duniani.He! Kumbe inshu ya kuwekeana mipaka kwenye ukabila bado ipo!!? Kwahiyo wewe huwezi kumpenda mtu hadi wazazi wako wamkubali?? Basi mngoje babako akuletee mchumba we umeshindwa kujisimamia mwenyewe
be blessed.Ameen...!!! i put my trust on Him..!!!
Nyie ndo mnapikosea, ukitafutwa na anayekupenda ooh, mm hayupo moyoni, mara Mungu hajanipa, kwa hiyo wale waliokutenda ndo uliwapenda na ndo ulichaguliwa na Mungu? nakushauri hivi mtafute mme anayefkri kwamba umempenda na Mumgu ndo kakuopa then mtongoze..siyo umalialia tu hapa!
Siku zote katika mapenzi unauskiliza moyo wako juu ya hisia ulizonazo kwa mtu fulani,kama hujawahi kumpenda mkaka wa watu let him go.Hakuna maana yoyote kama utaanzisha nae uhusiano wakati humfeel kabisa mana mwisho wa siku utakuja mtenda.....
1.Sijawai kumpenda kabsa as mpenzi nampenda kama rafiki yangu wa karibu.
3.Once I was chuo my dad alishwai nambia hatapenda kusikia nimeolewa na kabila fulani ambalo ni
la huyo mwanaume.
Na sidhani kama ni choise ya my mom pia cz enzi hizo alikua akija home
my mom hajawai kumchangamkia na nlikua nashangaa kwa nini.
4.Na wasiwasi na mahusiano yake what if ana mtu ambaye alikua nae serious na labda huyo mdada kawekeza mengi sii ntafanyiwa kitu kibaya jamani i believe in what goes around comes around..
:disapointed:
Siku zote katika mapenzi unauskiliza moyo wako juu ya hisia ulizonazo kwa mtu fulani,kama hujawahi kumpenda mkaka wa watu let him go.Hakuna maana yoyote kama utaanzisha nae uhusiano wakati humfeel kabisa mana mwisho wa siku utakuja mtenda.
Mweleze ukweli.
Kuhusu baba ako na kabila mie sidhani kama kuna shida maadam huolewi kumfurahisha mzee wako,mambo ya makabila na ukabila Nyerere alishakataza.
Ushawahi muuliza mama yako kuhusu kumchangamkia huyo mkaka? Bila shaka wakati huyo mkaka anakuja bi mkubwa alikuwa hapendi mahusiano hayo labda mlikuwa bado watoto na mengineyo.
Siku zote ukiingia kwenye uhusiano ni sawa na kujitoa sadaka,ukitaka kujua utamu wa ngoma ingia kati ucheze,hapa namaanisha huezi kujua tabia za ndani za mwanaume huyo bila kuwa naye karibu kwa maana ya kuanzisha uhusiano.
Kutokana na hiyo simulizi yako mimi naona huyo kaka anakupenda na kweli ana nia ya dhati kukuoa.
My dear sister,Na anainsist kuwa hata kama siko tayari kwa sasa atanisubiri "wee endelea tu maisha yako ukichoka mie nko nakusubiri" ndo alichonambia.
Sielewi cha kufanya sababu
1.Sijawai kumpenda kabsa as mpenzi nampenda kama rafiki yangu wa karibu.
2.Nimechoka kuanzisha mahusiano ambayo hayatadumu.Na i guess am desparate wadogo zangu
wameoa na kuolewa mie nipo nipo tu.
3.Once I was chuo my dad alishwai nambia hatapenda kusikia nimeolewa na kabila fulani ambalo ni
la huyo mwanaume.
Na sidhani kama ni choise ya my mom pia cz enzi hizo alikua akija home
my mom hajawai kumchangamkia na nlikua nashangaa kwa nini.
4.Na wasiwasi na mahusiano yake what if ana mtu ambaye alikua nae serious na labda huyo mdada kawekeza mengi sii ntafanyiwa kitu kibaya jamani i believe in what goes around comes around.
:disapointed:
My dear sister,
I hope you are fine as i'm. i have read what you have written to us but as a brother i wouldn't like you to look for a better man but for a man who will make you better, on the other hand wakuria wanamsemo wao kwamba ukitokea unachumbiwa ukasema humpendi mtu huyo basi unaambiwa kwani umpende yeye ni ng'ombe? i dont peak huyo jamaa in question for a husband maana he can be one of those who will endup saying you had no option B thats why you put yourself at his desposal in the first palce but decide on your own so when baloon goes up you should not put blames on others and especial your parents but on yourself. Sister, be yourself and there is never to late, just dont decide for the sake of others and time but for the sake of yourself.
Nitakuwa shambani and out of reach till after the harvest incase of anything mjomba moyo will lead your way to that marriage.
Your Brother Mwanajamii.
Asante kwa ushauri mzuri i guess itakua vizuri nkimweleza ukweli japo naona ataumia ila bora iwe ivyo miaka kama miwili iliyopita aliwai kunitafuta nkamwambia nina mpenzi huwezi amini akakata kabsa mawasiliano na mm sasa karudi tena this time more serious naogopa kuanzisha mahusiano naye sababu mambo yasipokuwa kama anavyotarajia naisi inaweza ikaleta shida baadae.