Tetesi: SIDO kuanza kutengeneza ndege/Airplane 2018?

Andrew123

JF-Expert Member
Jun 2, 2012
8,358
10,962
Je ni kweli taasisi hii ya umma itaanza kuunda ndege 2018? kama ndio juhudi hizi zinapaswa kuungwa mkono maana zitapunguza gharama za kuagiza ndege toka nje

**WAFUATAO WASIWEPO KWENYE KUUNDA HIZO NDEGE, VYETI FEKI**
993 VIWANDA VIDOGO VIDOGO ALLY S HAMISI
994 VIWANDA VIDOGO VIDOGO CHRISTOPHER NDERIA
995 VIWANDA VIDOGO VIDOGO DAVID MAKONO
996 VIWANDA VIDOGO VIDOGO DENIS SOSPITER
997 VIWANDA VIDOGO VIDOGO DEVOTA F. SHAYO
998 VIWANDA VIDOGO VIDOGO EVANCE EDESSY
999 VIWANDA VIDOGO VIDOGO FLORA C LUYENGA
1000 VIWANDA VIDOGO VIDOGO GASTOR W FAUSTIN
1001 VIWANDA VIDOGO VIDOGO GEORGE KASSIAN KOMBA
1002 VIWANDA VIDOGO VIDOGO KOMBO M SAID
1003 VIWANDA VIDOGO VIDOGO LINDA MICHAEL
1004 VIWANDA VIDOGO VIDOGO MARIAM SELEMANI MKOLANJE
1005 VIWANDA VIDOGO VIDOGO NELI M MUNYUGU
 

Attachments

  • downloadfile-4.jpg
    downloadfile-4.jpg
    60.8 KB · Views: 36
  • unnamed.jpg
    unnamed.jpg
    20.6 KB · Views: 38
SIDO pale VINGUNGUTI kufagia (kufanya usafi) hata kupiga rangi yale ma-godown yao tu kumewashinda, itawezekanaje ndege?
 
Nilicho muelewa mleta uzi nikwamba bomberdier inatengenezwa na small industr huko canada maana ukiangalia kwa makini ni hand made ila viwanda vikubwa ni robot made ndo nilichomuelewa samahani kama nimekuwa tofauti.
 
1. Na zibaki tu kuwa tetesi. Uwezp wa SIDO no kutengeneza mayoroli na mokokoteni.
2. Wanatafuta kushtakiwa na watengeneza ndege.
3. Tupo viziri kwenye kick, ila hata kuweka gia ya kwanza hatuwezi.
 
Hao SIDO wapewe tenda ya vile vitoroli vya kubebea mizigo airport, japo nina wasiwasi wanaweza kututuengenezea feki
 
Kwa akili hizi, umaskini huu tulionao ni haki yetu. SIDO au tuseme nchi isioweza hata kuzalisha baskeli itaanzaje kutengeneza ndege. Huyu mtu wenu anawaotesha ndoto za hovyo kweli huko mkikutana huko kwenye mavikao yenu ya kupanga utekaji.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom