Sidhani kama kunaubaya, wakikumbishia je?

Sidhani kama kunaubaya, wakikumbishia je?

kwanza pole sana kwa yaliyokukuta.
pili mahusiano yako wewe na mdogo wako yakoje, na je katika upelelezi wako mdogo wako na huyo msichana wako bado wanaendelea au la kama bado hapo hakuna mke kwani kama siyo umekuta hiyo picha wangeendelea na mapenzi yao pasipo wewe kujua. chukulia mdogo wako ni mtu usiyemfahamu je angeachana naye? ila bado mwenye maamuzi ni wewe ilhali kwa umbali anaonyesha kutokua mwaminifu kama bado walikuwa pamoja. kuna kauli tata " kila mmoja anasema hana shida na mwenzake na hiyo ya mdogo wako kuwa huyo msichana hajiwezi juu ya mdogo wako"

Ahsante mkuu labda nikuweke wazi mdogo wangu kalelewa na wazazi 100% mimi nilipokuwa mdogo mjomba na shangazi walinitaka nikaishi nao hivyo shule ya msingi mpaka secondary nimemalizia kwa ancle nyumbani nilikuwa naenda likizo tu.
Ila huyu demu ambae ananichanganya yeye kasoma na dogo wamepishana kidato kimoja tu.
Na hata nilivyotaka kuoa baadhi ya wanandugu katika kikao wanaonyesha kuijua familia hiyo na waliisifia kuwa ni wacha Mungu.

Ukalibu wao uliiisha baada ya demu kwenda chuo ambako ndio tulikutana na mimi tena kwa mimi kumsindikiza rafiki yangu akamuone mdogo wake hapo chuo.
 
Wakati unamhoji huyo binti kabla hujamtumia huo ushahidi alikuwa anakataa kuwa hajawahi kuwa na mpenzi(mdogo wako)????

Hii ni swali ambalo wanaume wengi huwa tunauliza mwanzoni mwa uhusiano Aliwahi kunitajia lakini alisema mpenzi wake hamjari na mimi sikutaka kumjua zaidi. Nilichojari ni mausiano mapya...na jana ndio kanitajia kuwa ndio huyo japo nimegundua majina yetu ya mwisho mimi natumia la babu Dogo anatumia la ukoo hivyo ndio vitu vilivyomchanganya vinginevyo nae angejua mapema
 
Ata dogo asipo kuja kuku megea bado dharau itakuwa kubwa kwako maana ana jua utamu wa mkeo...piga chini mkui tafta mwngine...ukileta ubishi ukioa ujue ume muolea dogo..!!!
 
ata dogo asipo kuja kuku megea bado dharau itakuwa kubwa kwako maana ana jua utamu wa mkeo...piga chini mkui tafta mwngine...ukileta ubishi ukioa ujue ume muolea dogo..!!!

Ayseee hii inaweza kuwa tatizo maana mbwebwe alizoonyesha Jana kwenye simu kabla sijamwambia huyo ndio wife to be ilikuwa shida
 
Achana na huyo mwanamke kaka, utakuja juta baadae na wala hutakuwa na amani katika maisha yako.
 
Na hilo ndio linalonipa wasi wasi japo wamekili kuwa ilikuwa Zamani ila kugegedana hakuna zamani,zamani mpya sasa.
Sina hakika kama ninajeuri ya kumpiga stop Dogo kuja nyumbani kwangu.
Hata wazazi watanishangaa

Mkuu mimi ilishanitokea hiyo 2012 ckua n ushahidi bt bdae nlikuja kupata uhakika roho ikaniuma sana thou dogo alipita nae kitambo istoshe ilikua n one nytstand.
Na dogo alijaribu sana kurudia mechi hakuwahi kufanikiwa ndio mimi nkaja gundua sintoweza kua n amani akiwa wife wangu.....mpka leo still nampenda nae anatamani nimuoe ila roho yangu imekataa huyo hakufai
 
Daaa kwanza dogo loko jinga ulitakiwa kuweka mipaka si arap kama atakavo anapoongea nawewe - Huyo bibie mwache pia fanya usajil mwingine hapo unakalia kuti kavu ....! Unaonekana msela flan oya oya dogo lako hawez zungumza ivo lazima awe na soni lol ....!
 
Ayseee hii inaweza kuwa tatizo maana mbwebwe alizoonyesha Jana kwenye simu kabla sijamwambia huyo ndio wife to be ilikuwa shida

Achana na huyo mwanamke kaka, utakuja juta baadae na wala hutakuwa na amani katika maisha yako.
ushauri wa maana ni kwamba aachane naye.
Mambo mengine ni ya kustaajabisha sana!

Mkuu mimi ilishanitokea hiyo 2012 ckua n ushahidi bt bdae nlikuja kupata uhakika roho ikaniuma sana thou dogo alipita nae kitambo istoshe ilikua n one nytstand.
Na dogo alijaribu sana kurudia mechi hakuwahi kufanikiwa ndio mimi nkaja gundua sintoweza kua n amani akiwa wife wangu.....mpka leo still nampenda nae anatamani nimuoe ila roho yangu imekataa huyo hakufai
 
Mkuu mimi ilishanitokea hiyo 2012 ckua n ushahidi bt bdae nlikuja kupata uhakika roho ikaniuma sana thou dogo alipita nae kitambo istoshe ilikua n one nytstand.
Na dogo alijaribu sana kurudia mechi hakuwahi kufanikiwa ndio mimi nkaja gundua sintoweza kua n amani akiwa wife wangu.....mpka leo still nampenda nae anatamani nimuoe ila roho yangu imekataa huyo hakufai

Ahsante mkuu kumbe tuko wengi tuliokutwa na hili...ilikuwa inanistajabisha mno,
Natafuta namna nzuri ya kutoka
 
Daaa kwanza dogo loko jinga ulitakiwa kuweka mipaka si arap kama atakavo anapoongea nawewe - Huyo bibie mwache pia fanya usajil mwingine hapo unakalia kuti kavu ....! Unaonekana msela flan oya oya dogo lako hawez zungumza ivo lazima awe na soni lol ....!

Ahsante mkuu si unajua Dogo nilimpa uhuru wa kila jambo lake aniambie bira aibu ili niwe karibu kiushauri.ndio maana hata ongea yake ilikuwa ya kujiamini mno
 
Wakati bado wadau wanakuja na hoja zao,nashauri yafuatayo:-
Kuishi na mwanamke aliyewahi kushiriki tendo la ndoa na ndugu yako sio sahihi sana,hutokua salama,tuwasubiri wenye uzoefu zaidi!
 
Mara ukumbukapoa hautakuwa na furaha wala amani na pindi umwinapo dogo ndio kabisa utahisi amekuja kukumbushia mwishi utakuwa na ugomvi na nduguyo......umelifahamu mapema shukuru Mungu
 
Ahsante mkuu kumbe tuko wengi tuliokutwa na hili...ilikuwa inanistajabisha mno,
Natafuta namna nzuri ya kutoka

Hiyo ndio njia nzuri kumuacha mimi nlikosa amani kabisa ila dogo alikua ametembea nae 7yrz ago......istoshe walikua hawa a uhusiano tena ila kuna ki2 kilileta shida ndio mana dogo akatupwa
 
Back
Top Bottom