mkuu vioo vya kuchongesha ni shilingi elfu 15 tuu ?? na ukitaka upate mwonekano halisi ni lazima anayekuchongea hicho kioo atumie kioo cha gari huwa wanatumia kioo cha side mirrow ya canter ndio kinakuwa powa.lkn ukitumia kioo cha makabati au saloon utachekesha coz ukiangalii utakuwa unaona gari ipo mbaliii kweli.
sema upo maeneo gani nikutajie wachongaji waliopo karibu nawe hii ni kama upo dar lkn