Side hussle

Yan
Fanya uber hiyo ... kama ipn ndai ya uwezo wako... unatoboa fresh tu huna sababu ya kusita 6.

Fanya sasa!,
ndo nlikua nataka kufanya hivo kuchukua kama mkopo wa m6 hv m ntaongezea M afu nichukue vitz kipya kipya afu ntakua narejesha kdg kdg mkopo huo
Make nina biashara inayoniingizia ziad ya 20k per day
 
Yan

ndo nlikua nataka kufanya hivo kuchukua kama mkopo wa m6 hv m ntaongezea M afu nichukue vitz kipya kipya afu ntakua narejesha kdg kdg mkopo huo
Make nina biashara inayoniingizia ziad ya 20k per day
Huo mkopo tiba yake uko vipi pamona na muda wa marejesho??
 
Dogo injiniaring bado haijachanganya hapo,hiyo hela itunze soma kwanza,mziki wa kuomba poo bado haujaanza hapa na ukianza unaweza kudisco,fanya kilichokupeleka,endelea na biashara hiyo hiyo ya bajaj ambayo ulishaianza
 
Chukuwa huu ushauri dogo
 
Huo mkopo tiba yake uko vipi pamona na muda wa marejesho??
Hapo sijajua wala sijafatilia yan!! Nlikua naomba ushauri kwanza mtu anaejua zaid anaweza nijuza pia zaidi
 
Ahahaahahh
Dogo injiniaring bado haijachanganya hapo,hiyo hela itunze soma kwanza,mziki wa kuomba poo bado haujaanza hapa na ukianza unaweza kudisco,fanya kilichokupeleka,endelea na biashara hiyo hiyo ya bajaj ambayo ulishaianza
sawakaka nimekupata! Asante kwa ushauri pia
 
Dogo...sikia, usijichanganye kwenye uber asee. Hapo utakua ume-incur liability mbili. Namba moja ni mkopo wa gari na namba mbili ni gari lenyewe kama liability. Anytime gari inaweza ikapata majanga na kuweza kuja kuirudisha barabarani inaweza chukua mda mrefu kulingana na tatizo lenyewe. Mixer bado hapo usacrifice muda wako wa class kwenda kuifatilia bado pia uhandle stress za pikipiki na bajaji zako, at the snd of the day unakua overwhelmed na majukumu hata unashindwa piga kitabu...maana engineering mbele tu hapo mambo yanaaanza kujichanganya. So atleast i'd suggest utafute biashara nyingine tofauti na hii au narudia tena au utulie tu na hizo biashara zako ambazo zinakuingizia chochote kitu
 
Na umesema bajaji na pikipiki zinakupa 700k per week? Kwa marejesho gani wanayoleta hao jamaa? Maana boda kwa siku mjini hapa ni 10k...na bajaji maximum ni 20...sasa hio 700k inakujaje chalii
 
Ww
Na umesema bajaji na pikipiki zinakupa 700k per week? Kwa marejesho gani wanayoleta hao jamaa? Maana boda kwa siku mjini hapa ni 10k...na bajaji maximum ni 20...sasa hio 700k inakujaje chalii
jamaa mm nimesema kwa wiki kwwr kk
Acha kunsingizia asee!
Hayo n makadirio ya mwezi kaka angu!
Na pikpiki n 7k sio 10k
 
Ww

jamaa mm nimesema kwa wiki kwwr kk
Acha kunsingizia asee!
Hayo n makadirio ya mwezi kaka angu!
Na pikpiki n 7k sio 10k
ingekua kwa wiki siningekua ninagari tayar mzee 😂😂
 
Nimekupata broh !!!….n ushauri mzuri pia asante. Sana ndugu angu!
 
ila
ujue kwq nini m nlikua natka kujiwekea side hussle ni kwa sababu tu nimeona weng yan baada ya chuo mtaani n kugumu sio poa kk asee!
Yan mtaa hauna huruma so ndo maana nlitaka kufanya hivo yan ili ata nkimaliza niwe tayar nina bzness zang za kuniingizia kipato kk
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…