arnjaam
Member
- Feb 23, 2019
- 53
- 28
Mimi ni kijana wa miaka 22 kwa sasa nasoma chuo bachelor of electrical engneering! Nlibahatika kupata pesa so nilinunua bajaji angu Moja na pikipiki so angalau kwa mwezi naingiza kama 700k hivi
Nimepata mkopo wa chuo so ada na Boom napata japo m naongeza kdg tu! So tuseme kwa mwezi take home n kama 600k hivi nkishatoa matumizi yangu yote!
Nimekuja chuo nimegundua kuna mda mwingi sana tunakuwepo tu free so nkawa na wazo la kuanza side hussle angu mwenyewe niwe na gari la uber na bolt nijiiongezee kipato! ila hapo nataka kuchukua mkopo wa gari lisilozidi
7M make nina uhakika wa kulilipa make ata gari hilo sio la starehe ila la kazi kama Vitz au ist!
Jamani naombeni ushauri je ntakua nimefanya maamuzi mazuri make kweri nimejikuta nimekuwa na uhitaji huo make maisha kutegemea tu kumaliza chuo ndo upate pesa n jau sana!
Naombeni ushauri wenu tafadhari ntashukuru sana!🙏🏿🙏🏿
Niko hapa hapa Dar!