Madame hapa sijakusoma vizuri hebu dadavuaNaogopa sana kufumaniwa kwani hali hii huweza kupelekea kujiona kuwa u mdanganyifu kwa mpenzi wako.
sipendi kusalitiwa ama kudanganywa ukitaka kuona side b yangu jaribu hayo!
ha ha ha umenichekesha
Naogopa sana kufumaniwa kwani hali hii huweza kupelekea kujiona kuwa u mdanganyifu kwa mpenzi wako.
nafurahia sana kudanganywa na gals kwa sababu huwa hainichukui muda kabla sijaugundua uwongo huo na hapo ndipo huwa mwisho wa mahusiano! Hii inanifanya kuwa huru bila kuwa na majukumu nje ya nyumbani kwangu....!