Hili tangazo nikichekesho tu lakin in reality si kwel.
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu flan cha Tanzania ninasoma BA(ED) wakati ninafanya field katika moja ya shule za sekondari Dar nilikutana na kioja kimoja ilikuwa hivi "katika jiji letu tuna tatizo la daladala siku hiyo nilimwomba konda ampakize mwanafunzi mmoja kwenye gar na niliahidi kimlipia nauli kilichotokea ni kuwa yule BINTI alikataa kupanda gar lile na mwishoe akaletwa na Fataki shuleni akiwa kwenye gari,nilipojaribu kumwoj BINTI alidai kapewa lifti mwishoni yule binti alikutwa na ujauzito" SWALI JE HUYU BINTI HADANGANYIKI????
...vishawishi vile ni vya chini sana, nikiwa namaanisha watoto wa kike hasa wanafunzi wanadanganywa siku hizi na vitu kama simu, au shopping za kufa mtu, outing za maana, mijichips kuku, lifti za magari, nk.
sasa labda TAMWA waniambie waeweka mahususi kwa watoto wa vijijini, wewe mjini hapa kama dsm mtoto gani umdanganye kwa lifti ya baiskeli?, au penseli dukani?.
labda waseme ni mahususi kwa vijijini....