cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 87,100
- 139,891
shos stak ujue lolBinti amekuja nini??? Story haijaisha asee!
shos stak ujue lolBinti amekuja nini??? Story haijaisha asee!
Siku hizi kuna waganga wanaopenda kutake advantage sana.Mara nyingi wakati mBorLo imo ndani ya ile kitu inamesa yenziye huwa mawazo na fikra kama zinahama vile, hasa lile joto joto la Qumma na mBorLo vinapokutana kudadadeq!
Haha.dah..maisha haya.. Mim inaenda week ya 3 hii nmempa break mtu ingawaa nammiss..najua yeye huko anakufa..maana huwa anakonda kabisa tukigombana..ila nmeamua kukaza this time had akil imkae sawa...tho nammiss kinomaWakuu, Heri ya Mwaka Mpya 2022.
Naamini mmeanza Mwaka salama.
Ebwana eeh, nawapongeza sana wale Wanaume walioweza kuishi bila kuchepuka kabisa.
Ilijipost kabla sijamaliza kuandika.shos stak ujue lol
Naamini anaheshimu familia yako mkuu.Haha.dah..maisha haya.. Mim inaenda week ya 3 hii nmempa break mtu ingawaa nammiss..najua yeye huko anakufa..maana huwa anakonda kabisa tukigombana..ila nmeamua kukaza this time had akil imkae sawa...tho nammiss kinoma
poleeeehIlijipost kabla sijamaliza kuandika.
Jiondoe kabla hajaenda kuonana na wazee wa kwa msisi maana ushamwashia taa nyekundu inabidi ajihami.Ilijipost kabla sijamaliza kuandika.
Mkuu inabidi uwe makin na huyo demuNaamini anaheshimu familia yako mkuu.
Kama unayo
Dalili mbaya kwako....Wakuu, Heri ya Mwaka Mpya 2022.
Naamini mmeanza Mwaka salama.
Ebwana eeh, nawapongeza sana wale Wanaume walioweza kuishi bila kuchepuka kabisa.
Mimi niliweza kwa kipindi flani hivi,ila mwanzoni mwa Mwaka Juzi 2020 nikajikuta nazoeana na aliyezaliwa 1995, dah msinicheke wadau huo mwaka
Unamtaadharisha ya nini? Hapo ndo utakapokosea! Just go slow na punguza kumuona taratiibu na kupiga naye mechi. Mdogo mdogo utajivua lawamaAnaweza akaniulia mke wangu huyu.
Tena najipanga kumtahadharisha.
Ukicheka na nyani utavuna mabua mangi.
Haha ha haaAchana na wanaokusema kuhusu muandiko nipe mimi uyo binti utakua umemsaidia sana.
Af hao watoto wazuri wanatafutaga nini kwenu mliooa wakati si single Boyz tupo!Haha.dah..maisha haya.. Mim inaenda week ya 3 hii nmempa break mtu ingawaa nammiss..najua yeye huko anakufa..maana huwa anakonda kabisa tukigombana..ila nmeamua kukaza this time had akil imkae sawa...tho nammiss kinoma
Nyie hamna helaAf hao watoto wazuri wanatafutaga nini kwenu mliooa wakati si single Boyz tupo!
Sawa mkuuNyie hamna hela
Kuna pisi kali huwezi kuzipa masharti hayo mkuu.. Labda uwe unahonga sanaaaNachoshukuru huwa naweza kumfanya mwanamke ajue nimeoa
Cha pili namwambia ukweli ukipata mtu nishirikishe ili tumchunguze pamoja ili uweze kuwa nae
Cha tatu huwa nampa masharti ya kujari kazi hii itamfanya kuwa bize asinisumbue na nampigia simu asubuhi ya kumkumbusha kazini na nampa masharti asipoenda kazini siku moja basi sionani nae wiki nzima
Hapa namtengenezea akili ya kutonisumbua
Na ndio balaalenyewe hilo.Dalili mbaya kwako....
Soon kuna dalili za kumpoteza mke wako.....
Naomba ni quote "Niko teyari kulea watoto wako"
Hatari hii sijui umeiona?