Sichepuki Tena. Kumbe ni balaa hivi!

Ukiachilia mbali miiko ya dini na watu kuhofia haiba zao, mwanaume ameumbiwa tamaa na dhahiri hawezi kuizuia kwa mwanamke mmoja maisha yake yote.

Kumbuka, Daudi aliua mtumishi wake ili achepuke na mke wa mtumishi huyo.

Chakufanya mkuu, endelea kula tunda. Gwaji mwenyewe pia alishindwa kujizuia.

Kikubwa, jali mke wako na watoto wako kwa maana mchepuko sio ndugu wa kudumu.
Kweli mkuu
Mimi siku ya harusi tu nipo saloon yule demu aliyenifanyia scrabu na kunitengeneza alikuwa mtu kweli haswa uzalendo ukanishinda nikaomba namba na nikampanga sema alikuwa na busara maana alisema nimalize ndoa kwanza then tutaongea.

Baada kama ya miezi miwili tulikutana nikala mzigo na saloon ni kubwa hapa mjini pengine nikiitaja kuna watu watamfahau wanaoenda hapo maeneo ya sinza
 
legend 😂😂
 
Mwanaume anaweza kuoa zaidi ya mwanamke mmoja lakini mwanamke ni ngumu mno! kuolewa na zaidi ya mwanaume mmoja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom