gimmy's
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 3,305
- 3,327
Raisi mstaafu wa awamu ya tano mh Kikwete ataendelea kua mfano kwa uvumilivu kwenye siasa za vyama vingi.
Hili limekua tofauti kwa wabunge wanawake wa vitimaalum(CDM) ambao kumeibuliwa kashfa bungeni wakihusishwa kuwa ma baby kwa viongozi wakuu ndipo wazipate nafasi hizo.
Jambo hili kwa vyovyote linauma na kimsingi haikua ustaarabu kuwekwa bayana kwa wahusika lakini kama hii isue si kweli kwa nini wasiipuuze?
Mh Mnyika alishawahi kumuita Mh raisi mstaafu mh JK dhaifu wakati ule lakini hatukumsikia Jk hata akiligusia,
Hizi pressure zinapoendelezwa zinaleta shaka kwa sisi raia kwanini matamshi yamewauma kiasi hiki?
Tujifunze kuvumiliana hasa kwenye huu mfumo wa vyama vingi vya siasa kwani hizi ndizo changamoto zake.