Siasa za Tanzania zinafikirisha

Siasa za Tanzania zinafikirisha

Super Msouth

Senior Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
145
Reaction score
128
Nawasalimu wanabodi.

Watanzania tunacho cha kujifunza kuelekea uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mwaka kutokana na aina ya watia nia ambao mpaka sasa wamejitokeza.

Bunge lililoisha muda wake naona wana mchango katika hili maana kimsingi ni bunge la ajabu na ovyo kupita mabunge yote niloyafahamu tangu nipate ufahamu na kufuatilia siasa (tangu enzi za mzee Msekwa) bunge hili limepekea kuona kila mtu anaweza kuwa mbunge.

Jambo la pili naona watumishi wa uma tena walio kwenye nyazifa za juu wakikimbilia kutia nia bila shaka bungeni kuna ulaji ndo maana wanakimbilia huko.

Hivi mishahara ya wabunge na posho wanazolipwa zikipunguzwa hali itaendelea kuwa kama sasa?
 
wa kumlaumu hapo ni John Pombe Joseph Maghufuli , sema wafia Magu hawataki kukubali
 
Magu alikuwa mngese sana lakini hili limama laanatulah ni li msengesi kabisa. Linaharibu taifa hili ma mumbwa yanaangalia mpaka wahuni wanataka kujiona nao ni parliamentary material kufanya maamuzi ya taifa hili
 
Nawasalimu wanabodi.

Watanzania tunacho cha kujifunza kuelekea uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mwaka kutokana na aina ya watia nia ambao mpaka sasa wamejitokeza.

Bunge lililoisha muda wake naona wana mchango katika hili maana kimsingi ni bunge la ajabu na ovyo kupita mabunge yote niloyafahamu tangu nipate ufahamu na kufuatilia siasa (tangu enzi za mzee Msekwa) bunge hili limepekea kuona kila mtu anaweza kuwa mbunge.

Jambo la pili naona watumishi wa uma tena walio kwenye nyazifa za juu wakikimbilia kutia nia bila shaka bungeni kuna ulaji ndo maana wanakimbilia huko.

Hivi mishahara ya wabunge na posho wanazolipwa zikipunguzwa hali itaendelea kuwa kama sasa?
Nashauri lugha ya kuongea bungeni iwe KINGEREZA. Ili kupunguza wajinga hawa
 
Magu alikuwa mngese sana lakini hili limama laanatulah ni li msengesi kabisa. Linaharibu taifa hili ma mumbwa yanaangalia mpaka wahuni wanataka kujiona nao ni parliamentary material kufanya maamuzi ya taifa hili
Duh

Ova
 
Back
Top Bottom