Mwanasiasa, mwanamuziki, mwandishi na mwanaharakati SUGU ametangaza rasmi kuwa asilimia 33 ya mapato yote ya tamasha litakalofanywa jijini Mbeya na VINEGA zitatumika kuwasaidia waathirika wa mafuriko hukohuko Mbeya.
Mimi, wewe na wengine wote wanajua kuwa Mbeya ni strategic area kwa shughuli za kisiasa za SUGU. Vilevile sote tulijulishwa kuwa lengo la ANTI VIRUS movement na VINEGA ni kuwakomboa wasanii toka kwenye unyonyaji wa "matajiri". Hii ni kumaanisha kuwa wasanii wawekeze kwa kutumia vipaji vyao ili wajikomboe kiuchumi.
Iwapo mgawanyo wa pesa utakuwa kama ulivyotajwa, basi VINEGA (zaidi ya 20) itabidi wagawane pesa zitakazobaki yaani asilimia 67 toa gharama za investment. Sasa tujiuliye, je huu uwekezaji wa kutoa msaada asilimia 33 ya gross income una tija kwa VINEGA? Jibu lake ni rahisi, kiuchumi/investment hakuna tija. Kwa vile kiuchumi mgawanyo huo hauna tija, je ni kwanini SUGU amesimamia kuhakikisha mgawanyo unakuwa hivyo?
Hapa ndipo tunapokuta kwamba SUGU anawatumia VINEGA kujijengea umaarufu kisiasa. Mkombozi wa kweli wa wasanii wa Bongo (iwapo wanadhurumiwa) bado hajapatikana. SUGU is just another mnyonyaji.
Ninawapa ushauri wasanii wote wanaohusika katika VINEGA kuwa makini na terms za ushirikiano wenu. Msikubali kuyumbishwayumbishwa. Kama kuna haja ya kuchangia maafa basi kila msanii apate pato lake na yeye mwenyewe kwa hiari yake akachangie maafa. Priority yenu number one inapaswa kuwa "KUTOKA KIUCHUMI".
Merry Christmass...
Huu ni ujinga mtupu, wacha wana Mbeya tuendelee kukaa bila mbunge hadi 2015. Eti Sugu mbunge, hana lolote pimbi mfupi kuliki wote huyo
jenga hoja wewe mpumbavu mkubwa
eti wabunge warefu ni bora
Hicho kibushuti nani anakitaka? Nipoteze kujenga hoja kwa mvuta bangi mfupi! Are you serious?
watoto mliozaliwa guest house mnamtindio wa ubongo.
ulijuaje kama ni mfupi? keshakusweka nini?Hicho kibushuti nani anakitaka? Nipoteze kujenga hoja kwa mvuta bangi mfupi! Are you serious?
ulijuaje kama ni mfupi? keshakusweka nini?
Weka picha yake hapa ukione, hakifiki mita 1
hawa jamaa wasifanye tena uhuni kama waliofanya kwenye ishu ya kuchangia maafa ya kilosa..yani utapeli mpaka kwenye matatizo ya watz wenzio..
Hivi hawa vinega wameishia wapi?
Tunawahitaji wafanye fundraising kwa ajili ya maafa ya MV Skagit.
Toilet paper hairudiwi mara mbili hata ukiwa bahili kiasi gani lazima uitupe ukimaliza kuitumia.
Kwa hiyo Sugu kashamaliza mahitaji yake na Vinega!!!
Ila Sugu asidharau mkunga...
Wewe na nani mnahitaji jambo hilo??Hivi hawa vinega wameishia wapi?
Tunawahitaji wafanye fundraising kwa ajili ya maafa ya MV Skagit.
Show ya juzi ya sugu iliyofanyika dar live vinega walikua ni washirika wakubwa na walipiga show nzuri sana.Uzuri wa watu wajinga ni uwepo wao kila mahala bila kikomo. Atatafuta wapuuzi wapya.