UMETUMWA NA HAO masnitch wa klauz,SUGU ameanza harakati za kuukomboa muziki wa bongo kabla hajafikiria kuwa mwanasiasa,na lengo la wasanii ktk jamii ni pamoja na kusaidia jamii...sasa ww na hao waliokutuma mlitaka asiwasaidie wahanga wa mafuriko? na kama ndivyo basi ww na hao waliokutuma toeni ninyi hiyo misaada kwa wahanga,mbona husemi kuhusu project ya kuichangia AFRICA iliyofanywa na MICHAEL JACKSON NA kuitwa AMERICA FOR AFRICA na kurekodi nyimbo WE ARE THE ONE...ukiendelea kukubali kutumiwa na hao maharamia VINEGA tutakudandia na kukutolea mahaliMwanasiasa, mwanamuziki, mwandishi na mwanaharakati SUGU ametangaza rasmi kuwa asilimia 33 ya mapato yote ya tamasha litakalofanywa jijini Mbeya na VINEGA zitatumika kuwasaidia waathirika wa mafuriko hukohuko Mbeya.
Mimi, wewe na wengine wote wanajua kuwa Mbeya ni strategic area kwa shughuli za kisiasa za SUGU. Vilevile sote tulijulishwa kuwa lengo la ANTI VIRUS movement na VINEGA ni kuwakomboa wasanii toka kwenye unyonyaji wa "matajiri". Hii ni kumaanisha kuwa wasanii wawekeze kwa kutumia vipaji vyao ili wajikomboe kiuchumi.
Iwapo mgawanyo wa pesa utakuwa kama ulivyotajwa, basi VINEGA (zaidi ya 20) itabidi wagawane pesa zitakazobaki yaani asilimia 67 toa gharama za investment. Sasa tujiuliye, je huu uwekezaji wa kutoa msaada asilimia 33 ya gross income una tija kwa VINEGA? Jibu lake ni rahisi, kiuchumi/investment hakuna tija. Kwa vile kiuchumi mgawanyo huo hauna tija, je ni kwanini SUGU amesimamia kuhakikisha mgawanyo unakuwa hivyo?
Hapa ndipo tunapokuta kwamba SUGU anawatumia VINEGA kujijengea umaarufu kisiasa. Mkombozi wa kweli wa wasanii wa Bongo (iwapo wanadhurumiwa) bado hajapatikana. SUGU is just another mnyonyaji.
Ninawapa ushauri wasanii wote wanaohusika katika VINEGA kuwa makini na terms za ushirikiano wenu. Msikubali kuyumbishwayumbishwa. Kama kuna haja ya kuchangia maafa basi kila msanii apate pato lake na yeye mwenyewe kwa hiari yake akachangie maafa. Priority yenu number one inapaswa kuwa "KUTOKA KIUCHUMI".
Merry Christmass...
Kilichoongelewa hapa siyo umaarufu. Jaribu kusoma vizuri utaelewa kilichoandikwa.
Mwanasiasa, mwanamuziki, mwandishi na mwanaharakati SUGU ametangaza rasmi kuwa asilimia 33 ya mapato yote ya tamasha litakalofanywa jijini Mbeya na VINEGA zitatumika kuwasaidia waathirika wa mafuriko hukohuko Mbeya.

Hii kitu nilishawahi kuhoji hapa jamvini.
Vinega si kundi la kimkoa, kikanda, kikabila wala kidini. Ni kundi linalojumuisha wasanii wa HipHop (kama wanavyojiita wanaharakati) wa Tanzania. Moja ya malengo yao ni kumpa somo msanii na kumkwamua na unyonyaji.
Kwanini wameamua mapapo yao yagawanye kwa wakazi wa Mbeya tu. Hawaoni kuwa Sugu atakuwa anawatumia kisiasa?
Nani aliyepanga 33% ibaki Mbeya. Hauoni kuwa ni kiasi kikubwa sana!. Ina maana kwenye mia wanagawana 67 wakati 33 inabaki kwenye jimbo la Sugu. Je wanakotoka hakuna matatizo yanayohitaji michango yao?
Kuweni makini, huyo Sugu hana nia nzuri na nyie. Anawatumia kufanikisha malengo yake ya kisiasa.
Huyu hapa concept ya Tanzania ni nchi moja imempitia mbali, halafu inawezekana hata idea ya "benefit concert" hajawahi kuisikia.
Puppy,
Are you convinced kwamba hao VINEGA hawana matatizo ya kutatua makwao? If yes, kwanini waamuliwe na kamati ya maandalizi kuwa theluthi (33%) inabaki kwenye shughuli za siasa za SUGU. Hii asilimia ni kubwa mno, hata Bill Gates hawezi kufanya hivi. This is not giving back to the community, this is buying the community politically kwa kutumia vipaji vya VINEGA.
Jaribu kufikiria asilimia 33 ya kipato chako, then jiulize kama unaweza kwenda kukitoa charity, then kumbuka kuwa hiyo inayobaki wanagawana VINEGA wote.
kwa ajili concert inafanyika mbeya...na wanaotoa viingilio ni hao hao wana mbeya! Ingefanyika Dar mapato yangeenda kwa wahanga wa dar! Nadhani hapo umeelewa!Hii kitu nilishawahi kuhoji hapa jamvini.
Vinega si kundi la kimkoa, kikanda, kikabila wala kidini. Ni kundi linalojumuisha wasanii wa HipHop (kama wanavyojiita wanaharakati) wa Tanzania. Moja ya malengo yao ni kumpa somo msanii na kumkwamua na unyonyaji.
Kwanini wameamua mapapo yao yagawanye kwa wakazi wa Mbeya tu. Hawaoni kuwa Sugu atakuwa anawatumia kisiasa?
Nani aliyepanga 33% ibaki Mbeya. Hauoni kuwa ni kiasi kikubwa sana!. Ina maana kwenye mia wanagawana 67 wakati 33 inabaki kwenye jimbo la Sugu. Je wanakotoka hakuna matatizo yanayohitaji michango yao?
Kuweni makini, huyo Sugu hana nia nzuri na nyie. Anawatumia kufanikisha malengo yake ya kisiasa.
Mbona cloudz wameiga kesho wanashoo,dar wanatoa 30%na wanalazmsha wasanii wataopiga shoo,waseme wameguswage,cpwaa 10%joh makin 10%young d 60%kumbuka watakatwa30%kinachobaki ndo wanakatwa hizo
Mwanasiasa, mwanamuziki, mwandishi na mwanaharakati SUGU ametangaza rasmi kuwa asilimia 33 ya mapato yote ya tamasha litakalofanywa jijini Mbeya na VINEGA zitatumika kuwasaidia waathirika wa mafuriko hukohuko Mbeya.
Mimi, wewe na wengine wote wanajua kuwa Mbeya ni strategic area kwa shughuli za kisiasa za SUGU. Vilevile sote tulijulishwa kuwa lengo la ANTI VIRUS movement na VINEGA ni kuwakomboa wasanii toka kwenye unyonyaji wa "matajiri". Hii ni kumaanisha kuwa wasanii wawekeze kwa kutumia vipaji vyao ili wajikomboe kiuchumi.
Iwapo mgawanyo wa pesa utakuwa kama ulivyotajwa, basi VINEGA (zaidi ya 20) itabidi wagawane pesa zitakazobaki yaani asilimia 67 toa gharama za investment. Sasa tujiuliye, je huu uwekezaji wa kutoa msaada asilimia 33 ya gross income una tija kwa VINEGA? Jibu lake ni rahisi, kiuchumi/investment hakuna tija. Kwa vile kiuchumi mgawanyo huo hauna tija, je ni kwanini SUGU amesimamia kuhakikisha mgawanyo unakuwa hivyo?
Hapa ndipo tunapokuta kwamba SUGU anawatumia VINEGA kujijengea umaarufu kisiasa. Mkombozi wa kweli wa wasanii wa Bongo (iwapo wanadhurumiwa) bado hajapatikana. SUGU is just another mnyonyaji.
Ninawapa ushauri wasanii wote wanaohusika katika VINEGA kuwa makini na terms za ushirikiano wenu. Msikubali kuyumbishwayumbishwa. Kama kuna haja ya kuchangia maafa basi kila msanii apate pato lake na yeye mwenyewe kwa hiari yake akachangie maafa. Priority yenu number one inapaswa kuwa "KUTOKA KIUCHUMI".
Merry Christmass...
Mwanasiasa, mwanamuziki, mwandishi na mwanaharakati SUGU ametangaza rasmi kuwa asilimia 33 ya mapato yote ya tamasha litakalofanywa jijini Mbeya na VINEGA zitatumika kuwasaidia waathirika wa mafuriko hukohuko Mbeya.
Mimi, wewe na wengine wote wanajua kuwa Mbeya ni strategic area kwa shughuli za kisiasa za SUGU. Vilevile sote tulijulishwa kuwa lengo la ANTI VIRUS movement na VINEGA ni kuwakomboa wasanii toka kwenye unyonyaji wa "matajiri". Hii ni kumaanisha kuwa wasanii wawekeze kwa kutumia vipaji vyao ili wajikomboe kiuchumi.
Iwapo mgawanyo wa pesa utakuwa kama ulivyotajwa, basi VINEGA (zaidi ya 20) itabidi wagawane pesa zitakazobaki yaani asilimia 67 toa gharama za investment. Sasa tujiuliye, je huu uwekezaji wa kutoa msaada asilimia 33 ya gross income una tija kwa VINEGA? Jibu lake ni rahisi, kiuchumi/investment hakuna tija. Kwa vile kiuchumi mgawanyo huo hauna tija, je ni kwanini SUGU amesimamia kuhakikisha mgawanyo unakuwa hivyo?
Hapa ndipo tunapokuta kwamba SUGU anawatumia VINEGA kujijengea umaarufu kisiasa. Mkombozi wa kweli wa wasanii wa Bongo (iwapo wanadhurumiwa) bado hajapatikana. SUGU is just another mnyonyaji.
Ninawapa ushauri wasanii wote wanaohusika katika VINEGA kuwa makini na terms za ushirikiano wenu. Msikubali kuyumbishwayumbishwa. Kama kuna haja ya kuchangia maafa basi kila msanii apate pato lake na yeye mwenyewe kwa hiari yake akachangie maafa. Priority yenu number one inapaswa kuwa "KUTOKA KIUCHUMI".
Merry Christmass...
Masaburi yanakuwasha wewe......Sugu ana wanyima usingizi ndiyo maana mana hangaika...Ukombozi unaweza kuletwa na mtu yoyote mwenye nia ya dhati na sugu hilo halihitaji elimu ya chuo kikuu kujua ana niana kwa sisi ambao tulianza kumfatilia kipindia ana sambaza tape vijiweni, hatuna wasiwasi na sugu............Nafikiri ujumbe umefika mkombozi wa wasanii hawezi hata siku moja akawa politicians, kwa lugha rahisi sugu anawatumia tu kwa maslahi yake ya kuwawini wanambeya.
hata Simba na yanga watacheza mechi kesho na kesho kutwa na kiasi kitaenda kwa wahanga sasa anacho shangaa huyu ZeMarcopolo sijui ni nini!?umeona mkataba kama makubaliano kati yao? wengi waliomakini wameamua mapato ya show za hivi karibuni kiasi kiwe msaada kwa wahanga wa mafuriko. wengine walioahidi kutoa kiasi kwa wahanga ni wenye show ya 'celebrate 50 years with swagg'. tujifunze kufanya utafiti kabla ya kulaumu ili ujue kuwa walikubaliana au niaje? wa wapi wewe!!!