mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,276
- 12,336
Hao mnaotaka muwaambie kuwa watu wanakufa ni wengi wao kwani wapo dunia gani ambayo hawaoni hivyo vifo vingi mnavyovitangaza!?Serikali inafeli kwenye issue ya Corona kwasababu wameshindwa kuwa wakweli, mfano, huwa wanatoa taarifa za idadi ya waliopata chanjo lakini hawasemi wagonjwa wa Corona ni wangapi, na vifo ni vingapi, they are too selective...
Hujalazimishwa kuamini, kama unadhani mleta mada anatania kwasababu bar zinajaa na hiace zinatema, stay as u are.Hao mnaotaka muwaambie kuwa watu wanakufa ni wengi wao kwani wapo dunia gani ambayo hawaoni hivyo vifo vingi mnavyovitangaza!?
Corona kwa tz ilishafeli kitambo. Watanzania ni watu wakujuliana hari,kama kuna jirani anaumwa basi majirani karibia ya wote wanajua nini shida ya mgonjwa, inapotokea yule mgonjwa kafa wanajua kilichomuua ni nini...
Kweli aisee maana wananchi hawaelewi chochoteSerikali inafeli kwenye issue ya Corona kwasababu wameshindwa kuwa wakweli, mfano, huwa wanatoa taarifa za idadi ya waliopata chanjo lakini hawasemi wagonjwa wa Corona ni wangapi, na vifo ni vingapi, they are too selective...
Tukubaliane kwanza mwaka huu kumekuwa na vifoo vingi zaidi ya miaka yote,je nini chanzo Cha vifoo hivyo?Hao mnaotaka muwaambie kuwa watu wanakufa ni wengi wao kwani wapo dunia gani ambayo hawaoni hivyo vifo vingi mnavyovitangaza!?
Corona kwa tz ilishafeli kitambo. Watanzania ni watu wakujuliana hari,kama kuna jirani anaumwa basi majirani karibia ya wote wanajua nini shida ya mgonjwa, inapotokea yule mgonjwa kafa wanajua kilichomuua ni nini...
Kama kuna jambo serikali imefeiri kwa 100% ni jinsi ya ku hendo corona nchini, imekosa msimamoHabari wadau wa JF
Kuna vurugu za maneno zinaendelea huko Kati ya wanasiasa katiba mpya na wengine chanjo ya covid19.
...
Mimi nimeongelea vifoo in general this year vimekuwa vingi Sana , imagine toka na kua sijawahi kuona kijijini nilipozaliwa pakiwa na misiba angalau mitano kwa mwezi lakini last week nimeenda kuzika wa 9 wa ukoo mojaYani kama vifo vyenye ni hadi serikali itangaze watu ndio watu waweze kujua kuwa kuna vifo vingi basi nadhani kuna haja pia ya kutangaziwa takwimu za vifo vya malaria, maana ukiangalia takwimu tunaambiwa watu wanakufa sana na malaria hata mimi mwaka juzi nimefiwa na mtu wa karibu kabisa kwa sababu ya malaria ila cha ajabu ukimwambia hicho kifo kuwa sababu ni malaria mtu anashangaa ni vp mtu aumwe malaria hadi anakufa. Kwahiyo maoni yangu ni kwamba kama tumeona kuna faida kwa wananchi kujulishwa takwimu za vifo vya corona basi pia kuna faida kuna faida kujulishwa vifo vya maradhi mengine ikiwepo malaria nadhani watu wataweza kujua tatizo lililopo na kuweza kuchukua hatua.
Ukoo wenu mtakuwa wachawi mnalogana Sana msisingizie CoronaMimi nimeongelea vifoo in general this year vimekuwa vingi Sana , imagine toka na kua sijawahi kuona kijijini nilipozaliwa pakiwa na misiba angalau mitano kwa mwezi lakini last week nimeenda kuzika wa 9 wa ukoo moja
Jibu rahisi hapo ni kwamba hivyo vifo vimekuwa vingi kwa sababu ya corona, kwa sababu huko nyuma hakukuwa vikionekana vifo vingi labda mpaka uangalie takwimu.Mimi nimeongelea vifoo in general this year vimekuwa vingi Sana , imagine toka na kua sijawahi kuona kijijini nilipozaliwa pakiwa na misiba angalau mitano kwa mwezi lakini last week nimeenda kuzika wa 9 wa ukoo moja
Habari wadau wa JF
Kuna vurugu za maneno zinaendelea huko Kati ya wanasiasa katiba mpya na wengine chanjo ya covid19.
Tukiangalia mtaani vifo vimekuwa vingi lakini hatujui chanzo chake nini...
rais ni dhaifuKama kuna jambo serikali imefeiri kwa 100% ni jinsi ya ku hendo corona nchini, imekosa msimamo
Nakuhurumia sana mkuu.Hao mnaotaka muwaambie kuwa watu wanakufa ni wengi wao kwani wapo dunia gani ambayo hawaoni hivyo vifo vingi mnavyovitangaza!?
Corona kwa tz ilishafeli kitambo. Watanzania ni watu wakujuliana hari,kama kuna jirani anaumwa basi majirani karibia ya wote wanajua nini shida ya mgonjwa, inapotokea yule mgonjwa kafa wanajua kilichomuua ni nin...
NILIKUWA HAPA TUNDURU KIKAZI KWA MUDA WA WIKI TATU.UKIVAA BAROKOA WANAKUSHANGAA SANA.YAAN HAKUNA DALILI ZOZOTE ZA CORONA.KWA HIYO VIFO VIPO ,LAKINI SI KAMA UNAVYOSEMAHabari wadau wa JF
Kuna vurugu za maneno zinaendelea huko Kati ya wanasiasa katiba mpya na wengine chanjo ya covid19...
Mkuu ; chanzo cha vifo ni dharau. Wengi hawachukui hatua za kujikinga na UVIKO-19.Habari wadau wa JF
Kuna vurugu za maneno zinaendelea huko Kati ya wanasiasa katiba mpya na wengine chanjo ya covid-19...
Kweli kabisa,Sasa jamii ifanye nini iliiokoke?Tatizo kubwa ni janga kufanyiwa siasa:
1. Nimeshuhudia uzinduzi wa chanjo kulipodaiwa bila aibu chanjo ni kwa hisani ya SSH na CCM.
2. Kwenye uzinduzi vibwagizo vya SSH na CCM hoyeee kuwa rasmi...