Kumbe ujinga ni kila mahali, hata waliostaarabika!
Ukitaka watu wamfufue marehemu bibi yako wa 3 ingia penye siasaSiasa hazina ustaarabu heshima na hata adabu pia popote pale duniani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hii tamu hadi kisogoniNilidhan ni huku kwetu tuuu[emoji2] [emoji2] [emoji2] View attachment 410086
Hahahahahaha Mshana acha kabisa Mkuu hiz siasa hatar sana kaka!!!..[emoji23] [emoji23] [emoji23] hii tamu hadi kisogoni