Siasa za Marehem Alphonce Mawazo zingekua kama siasa za Lema!

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,966
Ninawalaani waliofanya kitendo cha kinyama kutuondolea uhai wa mpambanaji Marehemu Alphonce mawazo, Mungu pekee ndiye mwenye kujua adhabu yao siku ya kiama.

Siasa za Shujaa huyu hazikua na tofauti hata chembe na Siasa za Mh Lema, kwa hakika muda ungekua shahidi! Si ujengaji wa hoja wala ujasiri wa kuzungumza awapo jukwaani, anavyojiamini Mh Lema ndivyo alivyokua Mh Marehemu Alphonce Mawazo.Katika kipindi kama hichi naamini kabisa Mawazo angekua ni miongoni mwa Wapinzani wabaosota mahabusu kwa sasa.

Hua kila nikilala na nikiamka bado sijakutana na kijana jasiri aina ya Marehemu Mawazo, hayupo na bado hajaonekana. Sijajua ni lini atazaliwa mpambanaji wa aina yake lakini kila ninampomkumbuka shujaa huyu hua naumia sana sana, hiki kilikua ni kigingi ambacho Mungu aliamua kukichukua lakini hakika CCM wamhepata shida sana hapa.

Kwa hakika Upinzani nchini ulipoteza kijana jasiri sana kwa makusudi na matamanio ya dunia juu ya kundi ovu la mawakala wa shetani,"

"Mungu akurehemu huko uliko na hakika tutakuenzi Milele ALPHONCE MAWAZO", Ameen!!!
 
katika vifo vya wanasaiasa ambavyo naumia hadi leo ni cha alfonsi mawazo....siamin kama amekufa kweli.
 
Hivi hawa jamaa hawaamini kuwa watakufa??? Mawazo pumzika Kaka
 
Ninawalaani waliofanya kitendo cha kinyama kutuondolea uhai wa mpambanaji Marehemu Alphonce mawazo, Mungu pekee ndiye mwenye kujua adhabu yao siku ya kiama.

Siasa za Shujaa huyu hazikua na tofauti hata chembe na Siasa za Mh Lema, kwa hakika muda ungekua shahidi! Si ujengaji wa hoja wala ujasiri wa kuzungumza awapo jukwaani, anavyojiamini Mh Lema ndivyo alivyokua Mh Marehemu Alphonce Mawazo.Katika kipindi kama hichi naamini kabisa Mawazo angekua ni miongoni mwa Wapinzani wabaosota mahabusu kwa sasa.

Hua kila nikilala na nikiamka bado sijakutana na kijana jasiri aina ya Marehemu Mawazo, hayupo na bado hajaonekana. Sijajua ni lini atazaliwa mpambanaji wa aina yake lakini kila ninampomkumbuka shujaa huyu hua naumia sana sana, hiki kilikua ni kigingi ambacho Mungu aliamua kukichukua lakini hakika CCM wamhepata shida sana hapa.

Kwa hakika Upinzani nchini ulipoteza kijana jasiri sana kwa makusudi na matamanio ya dunia juu ya kundi ovu la mawakala wa shetani,"

"Mungu akurehemu huko uliko na hakika tutakuenzi Milele ALPHONCE MAWAZO", Ameen!!!

acha upuuzi wewe

Lema ni mbishi, ana misimamo lakini huwa hapigi watu physically wala hana ubabe huo

mawazo alikuwa mbishi, ana misimamo na alikiwa anapiga watu physically

haukumuonya wala kumshauri kuwa alikuwa anakosea, alipiga watu nao wakaja juu....wakamwonyesha uhuni wakamuua...mmebaki kusemw serikali

kwa taarifa yako niko kwenye kampeni za kutaka/kuomba lema awe katibu mkuu na Lissu awe mwenyekiti. wanafaa wanaweza na only choice kwa sasa

usipoteze muda kulaani usilolijua
 
Back
Top Bottom