MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,252
- 8,003
Hua na jarinbu kufikiria sarakasi juu ya kesi za Mh Lema na aina ya makosa aliyoyafanya kwa hakika najikuta kutamka neno moja tu "Mungu amtie nguvu Lem"Lema hakutukana mtu wala kusema vibaya ispokua alitamka alichokiota. Hata mbele ya Mungu muumba wa ardhi na mbingu na malaika wake Mh Lema hana dhambi juu ya matamshi hayo.
Hua najaribu kufananisha siasa za Mh Lema na siasa anazofanya Gavana wa akaunti ya Mombasa nchini Kenya Mh Hassan Joho, Gavana Joho hua wanabishana hata na Rais Kenyatta mbele ya wanamchi, Gavana Joho hufikia hata kumtukana Rais Lakini husikii kesi za ajabu ajabu juu yake.Tena hua hakomi kutamka maneno yake yenye shombo lakini ni nadra sana kusikia polisi wakimwandama.Hapa utaamini kua wenzetu wako mbele yetu kwa kila kitu hata kwenye siasa.
Hua najaribu sana kujiuliza ni kwanini Rais Uhuru Kenyatta ambaye anatembea na dola muda wote huishia kusema kua hana muda wa kulumbana na wanasiasa, kama ni siasa wakutane kwenye uwanja wa siasa.Kuna watu wamejawa uvumilivu sana wa kisiasa na ndio maana leo hii Uhuru Kenyatta bado anapendwa sana na Wakenya na bado anapewa nafasi kubwa sana kushinda kwenye uchaguzi ujao tena.