Siasa za mapanga zimeanza

Mssassou

JF-Expert Member
Jun 17, 2015
1,537
597
Tarime wafuasi wa CHADEMA wamejeruhiwa na mmoja kupoteza maisha kwa mapanga,gari la Ester Matiko limeharibiwa vibaya kwa mapanga na wafuasi wa CCM.Hii ni dalili tosha kuwa CCM imezidiwa sana na UKAWA katika ulingo wa siasa.Source ITV
 
Kwanini mnakuwa always negative kiasi cha kutisha, yaani tayari ushahukumu, ushatoa na adhabu ..why? ama ndo mahaba?
 
Kwanini mnakuwa always negative kiasi cha kutisha, yaani tayari ushahukumu, ushatoa na adhabu ..why? ama ndo mahaba?
Hivi nyinyi wenzetu mnaishi wapi.? Mnakuwa kama sio watanzania wa kawaida au kula kulala wa oysterbay.
 
Wafao kwa sababu ya chama au mgombea ni wajinga wakubwa!!..... Marehemu kafa kwa ujinga wake.
 
Sasa aliyejeruhiwa na kupoteza uhai c ndo amezidiwa ama nenee????
 
Nimepita eneo fulani kuna ofisi za ccm pia wanalaza magari, wana ccm walivyoona hiyo habari itv walishangilia sana, mi nikajua kuna mpira nikasogea, dah watanzania tulipofikia, ni hatari sana
 
Wafao kwa sababu ya chama au mgombea ni wajinga wakubwa!!..... Marehemu kafa kwa ujinga wake.

Ndugu yangu ingekuwa ni mzazi wako yamemkuta haya, halafu unaona kwenye Jf kuna mtu anatoa maneno hayo unayotamka humu ndani ungejisikiaje?????
 
Back
Top Bottom