Siasa za majitaka CHADEMA tuziache

Status
Not open for further replies.
Jamaa kasema ataenda karagwe kugombea ubunge na akipita atakuwa waziri.
Ameisha nunua spika mbili za watts 80 kila moja tayari kwa kampeni za 2015

Chilisosi
Hii habari imenifurahisha sana Dr A. Paurine kwa elimu yaka anatakiwa afahamu anatetea na anashabikia kitu gani; siasa za Chadema ni mtandao; kuna wanachadema wanasubiri nafasi hiyo na wapo Karagwe tangu 2005 wanaisubiri nafasi hiyo 2015 na wameshajijenga; yeye kama anategemea kuitumia JF kujitangaza wanachama wa Chadema Karagwe wanaosoma JF ni chini ya 1%; na isitoshe si rahisi kwa wanachadema waliopo Karagwe kumpa nafasi hiyo; jamaa kanunua spika 2 kweli zitatosha? Kama anafundisha mwambie asiache kazi yake
Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Jamaa anaamini kuwa akifika karagwe na kuwaambia wananchi anatoka UK na ana phd watamchagua.
Anyway nilisahau kukujulisha kuwa kasema pia atakuwa anatumia power point presentation kwenye mikutano yake kama vila anavyotumia darasani wakati wa kufundisha. anadai wananchi wakiona hiyo lazima wamchague. Nikamwambia hiyo itaonekana kama sinema za yomba yomba tu
 
Mkuu Chilisosi umeniacha hoi yaani mpaka sasa hivi jamaa hata ujumbe wa shina Chadema haupati; power point kwa kampeni Tanzani? Hivi jamaa huwa anakwenda huko Karagwe kuangalia hali halisi au anaisoma JF?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Chilisosi umeniacha hoi yaani mpaka sasa hivi jamaa hata ujumbe wa shina Chadema haupati; power point kwa kampeni Tanzani? Hivi jamaa huwa anakwenda huko Karagwe kuangalia hali halisi au anaisoma JF?

Chama
Gongo la mboto DSM
Hata kiswahili hakipandi vizuri, ni mtu wa JF tu
Ni mmoja kati ya wale vijana wanaoamini kuwa ukifika bongo ukawaambia umetoka majuu basi watakuabudu, anasahau kuwa kuna watu wako hapo miaka nenda rudi wana majina na wako njema
 


:rockon:COM ON F**K U
 
Naona umewahi folen ya lumumba leo..
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Chilisosi umeniacha hoi yaani mpaka sasa hivi jamaa hata ujumbe wa shina Chadema haupati; power point kwa kampeni Tanzani? Hivi jamaa huwa anakwenda huko Karagwe kuangalia hali halisi au anaisoma JF?

Chama
Gongo la mboto DSM

Kama sikosei we chama saa hizi babu wewe na koti lako lenye mchwa na kunguni,unasaga nyayo toka goms hadi lumumba kupewa 5000 na banda lako la udongo huna hata ujumbe wa mtaa...katulie nyumban wajukuu zako wakulee acha njaa
 
Last edited by a moderator:

:rockon:Uwe na aibu kidogo,kama Lwakatare ndiye mpangaji wa Ugaidi huo mkanda Mwigulu ameupataje? unajua msitake kufanya watu woote ni wajinga na wala hamuwezi kudanganya watu wote wakati wote,Ugaidi wapange ccm kupitia mwigulu na hata kama ni Lwakatare lakini engineer wakubwa ni ccm ili kukitia chama cha Chadema shombo,
Ukweli utabaki pale pale kwamba anawezekana kweli ni lwakatare lakini under uangalizi wa maccm eleweni kitu kimoja ccm imechuja mioyoni mwa watanzania

Unasema unatetea sera unaelewa sera gani wewe?sana utakuwa unatumika tu kama KONDOMU then wengine wakishapata madaraka wanakutupa kwenye dust been huna kazi tena jidanganye kwamba unatetea sera,wakati hakuna unachokielewa:nono:
 
:rockon:COM ON F**K U

Dr A. Paurine
Hawa ndio vijana wako hii ndio lugha iliyojaa ndani ya vinywa vyao; pia acha nikupe ushauri wa bure
1. Kugombea Karagwe 2015 umechelewa; jipange 2020 na kama hivyo rudi Karagwe haraka ili itapofika 2020 ufananefanane nao kiakili na kimawazo hapo ndipo utapoona kama power point itafaa ua la.
2. Chadema ni mtandao haupo kwa ajili ya kutetea watanzania kama unavyojinadi, wewe lengo lako ni kutetea watanzania mpaka hapo tayari utakuwa hukubaliki hivyo utajiweka kwenye hatari ndani ya Chadema kuna "malicious" politicians; Lwakatare ni kiongozi tu ila ana vijana wengi tu ambao wapo tayari kumnyamazisha yoyote asiyekubaliana na mungu mtu; kumbuka akina Zitto wanaonekana masalia kwasababu tu hawakubaliani na nabii.
3. Spika zinazokubalika kutumika Chadema ni zile tu ambazo zimenunuliwa kwa tenda ya mwenyekiti hizo 2 tafuta pa kuzipeleka hazitakubalika.
4. Jifundishe kiswahili

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Kama sikosei we chama saa hizi babu wewe na koti lako lenye mchwa na kunguni,unasaga nyayo toka goms hadi lumumba kupewa 5000 na banda lako la udongo huna hata ujumbe wa mtaa...katulie nyumban wajukuu zako wakulee acha njaa
Nashukuru sana angalau umejua nina kwangu; siishi mjini kwa kufadhiliwa na mwanaume mwenzangu
Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mkuu, mpeleka ujumbe hauwawi.

Hata kama hawataelewa ama kwa kutaka kutokuelewa au kwa vile kina cha fikra zao ni kidogo, hiyo ni juu yao.

Kuna mipaka ya mahusiano kati ya binadamu na siasa ukilinganisha na binadamu kwa binadamu mwenzake achalia mbali ndugu, jamaa na marafiki.

Kama wao siasa ni mtaji kimaisha, kwa upande wetu siasa ni hobby.
 

Ama kweli sio kila mwenye kichwa anazo akili pia,ila tabia ya mtu hutokana na mawazo yake pia mawazo ya kijinga hutokana na akili chafu. Unadai ccm wanafanya mikutano ya amani kwa kutatua kero za wananchi na mikutano ya cdm ni viongozi kuwajaza wananchi hasira,pamoja na kuamini kuwa uwezo wako wa kufkiri ni mdogo sana kulko ila nijibu haya,
kama ccm mnatatua kero za wananchi je kero ipi mmeipunguza kwa aslimia 60?kuanzia madawati,zahanati na vifaa tiba?watoto wa mitaani kutokusaidiwa ipasavyo,je mtu anayehutubiwa kisha akawa na hsia hapo naamini atakuwa ameguswa kwa kuambiwa ukweli na akautambua je wewe unaona ni sahihi kwa ccm kushindwa kumaliza tatzo la madawati tangu uhuru hadi leo?wakati kenya wanaanza kufundisha computer kuanzia primary je ccm wanashindwa kwanini?jaribu kutumia akiri kwenye mambo ya msingi kama haya na sio ushabiki wa kijingajinga.
 
Last edited by a moderator:

Bora leo hujaongea siasa ya maji taka. Leo mtu anaweza fikiri malaika kamwandikia shetani barua. Hata hivo chuki zako dhidi ya CDM bado iko wazi. Kati ya waunga matusi ya Nchemba na Lusinde humu hukosi.namba.
 
Watanzania kama wewe huwa ninawashangaa sana.
Maelezo yako yanaweza yakawa na ukweli fulani ndani yake lakini unapoaanza kutoa mifano ya Kenya kimaendeleo kulinganisha na Tanzania ni kutaka kumfanya mtu acheke kama siyo kusikitika.

Hivi umeisha tembea Kenya achilia mbali kuishi ukaona hali halisi ya maisha ya watu wa Kenya?. Tatizo la watu wengi kama wewe, mnaokota habari za barabarani na kuzifanya ndiyo ukweli badala ya kuutafuta huo ukweli.

Haya bana, CCM haijatatua kero yeyote ile.

By the way, Mbona viongozi wa CHADEMA kila siku wanampongeza Mwl. Nyerere kwa kazi nzuri aliyoifanya mpaka wanaweka picha yake kwenye mikutano mikuu ya baraza la taifa CHADEMA. Je, huyo anayepongezwa, ni kero gani hizo ambazo alipunguza nje ya CCM akawa ni tofauti na CCM.

Kuishi kwa political cherry picking hakuwezi kuondoa ukweli.
 
Mkuu umemjibu kurya kama ana kichwa cha kuelewa ataelewa bahati mbaya sana kuna misekure mingi tu humu JF inaendeshwa tu haina yajualo.
Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Mkuu umemjibu kurya kama ana kichwa cha kuelewa ataelewa bahati mbaya sana kuna misekure mingi tu humu JF inaendeshwa tu haina yajualo.
Chama
Gongo la mboto DSM
Mkuu ni afadhari kama wangefahamu kama hawafahamu kuliko kudhani wanafahamu.

anyway, tutafika tu.
 

ZeMarcopolo ni mnafiki na mtu wa kujikomba tu!! Hana lolote huyo! Kila siku analalamika eti Zitto anaonewa ndani ya CHADEMA.! Zitto anajionea mwenyewe kwa POMPASY na Tamaa zake!!
 

Hauna tofauti na CONDOM utatumika kwa tendo moja kisha utatupwa hauna faida tena au utakuwa ni BIG G utatafunwa ukishakwisha utamu watakutema utakuwa hauna thamani tena kama wamwqawa akini Kombe waliokuwa na madaraka makubwa akina H,Kolimba waliokiwa wakiila nchi hii sembuse mbwa wewe usie hata na cheo
Eti unatetea sera sikuelewi kama waliozitetea ndio walisema CHAMA CHA CCM HAKINA MWELEKEO NA WAKAONDOLEWA sembuse kibwengo wewe?

Tafuta cha uvunguni tu kwa kuwa unapewa posho za kuandika uozo wako humu siku zinaenda na bado unaendelea kuishi mjini kwa ajili ya majungu na umbea endelea tu
 

Chama: "" hata mimi sijui kwa nini nchi yangu ni maskini"" By doctor Jakaya Mrisho Kikwete. Kwanini JK asijadiliane na wanaCCM wenzake na washauri wake matatizo ya nchi kabla ya kwenda kujadiliana na wananchi??
 
Hivi hawa wapuuzi nashangaa wanaoandika upumbavu humu eti wengine wanasema wanatetea sera kama Filikunjombe aliyeko jikoni na kwenye mafuta na utamu anawakanusha kwamba wanachofanya sicho,vipi wewe mpumbavu mmoja kama
Zemarcopolo
Bungeni
Stroke
Mafilili
Chama
Ritz fisadi
Ng'wamapalala
Na wapumbavu wenzao wengine ambao hata bungeni hamuingii hivi nyie mnalijua bunge kuliko Deo Filikunjombe am ae yumo humo lakini anawalipua kwamba ni wapumbavu
Wengine wajinga wanasema wanatetea sera unatetea ujinga na usichokijua halafu unajidai mjuaji
F**k u wote shenzi type njaa zitawaua akina Lukosi kujipendekeza tu hapendwi mtu hapo

Tegemeeni tu posho za kuandika ujinga
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…