Siasa za majitaka CHADEMA tuziache

Siasa za majitaka CHADEMA tuziache

Status
Not open for further replies.
Dr A. Paurine
Hawa ndio vijana wako hii ndio lugha iliyojaa ndani ya vinywa vyao; pia acha nikupe ushauri wa bure
1. Kugombea Karagwe 2015 umechelewa; jipange 2020 na kama hivyo rudi Karagwe haraka ili itapofika 2020 ufananefanane nao kiakili na kimawazo hapo ndipo utapoona kama power point itafaa ua la.
2. Chadema ni mtandao haupo kwa ajili ya kutetea watanzania kama unavyojinadi, wewe lengo lako ni kutetea watanzania mpaka hapo tayari utakuwa hukubaliki hivyo utajiweka kwenye hatari ndani ya Chadema kuna "malicious" politicians; Lwakatare ni kiongozi tu ila ana vijana wengi tu ambao wapo tayari kumnyamazisha yoyote asiyekubaliana na mungu mtu; kumbuka akina Zitto wanaonekana masalia kwasababu tu hawakubaliani na nabii.
3. Spika zinazokubalika kutumika Chadema ni zile tu ambazo zimenunuliwa kwa tenda ya mwenyekiti hizo 2 tafuta pa kuzipeleka hazitakubalika.
4. Jifundishe kiswahili

Chama
Gongo la mboto DSM

Cha ajabu unamshauri mwanaume mwenzio akagombee kwao Karagwe kwa nini usigombee wewe? Unajijua ni sawa na dagaa waliooza hauuziki hata kwa bure hauuziki wala hauchaguliki hivyo umebaki kuwatengenezea na kuwashauri wanaume wenzio tu hauoni aibu? Hebu kafanye na wewe ndio maana tunakwambia hauna tofauti na kondom kuwatengenezea wanaume wenzenu nyie kupiga kelele tu nje wachaguliwe,gombea na wewe upate sio kelele tu dogo
 
Last edited by a moderator:
Dr A. Paurine
Hawa ndio vijana wako hii ndio lugha iliyojaa ndani ya vinywa vyao; pia acha nikupe ushauri wa bure
1. Kugombea Karagwe 2015 umechelewa; jipange 2020 na kama hivyo rudi Karagwe haraka ili itapofika 2020 ufananefanane nao kiakili na kimawazo hapo ndipo utapoona kama power point itafaa ua la.
2. Chadema ni mtandao haupo kwa ajili ya kutetea watanzania kama unavyojinadi, wewe lengo lako ni kutetea watanzania mpaka hapo tayari utakuwa hukubaliki hivyo utajiweka kwenye hatari ndani ya Chadema kuna "malicious" politicians; Lwakatare ni kiongozi tu ila ana vijana wengi tu ambao wapo tayari kumnyamazisha yoyote asiyekubaliana na mungu mtu; kumbuka akina Zitto wanaonekana masalia kwasababu tu hawakubaliani na nabii.
3. Spika zinazokubalika kutumika Chadema ni zile tu ambazo zimenunuliwa kwa tenda ya mwenyekiti hizo 2 tafuta pa kuzipeleka hazitakubalika.
4. Jifundishe kiswahili

Chama
Gongo la mboto DSM

Chama acha uboya wako mbona Serukamba alivyotukana hamkusema? Na alitoa tusi hilo mbona hapo unasema vijana wa Chadema? Jinsi lilivyokuuma hilo neno ndivyo walivyochukia walioambiwa hilo neno bungeni

Umejifunza nini we boya?

T
 
Last edited by a moderator:
eowange
Naona unajitahidi sana kunitafutia ban! Siku hizi sijibizani na misekure; wewe endelea ukimaliza potelezea kiana
Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Hauna tofauti na CONDOM utatumika kwa tendo moja kisha utatupwa hauna faida tena au utakuwa ni BIG G utatafunwa ukishakwisha utamu watakutema utakuwa hauna thamani tena kama wamwqawa akini Kombe waliokuwa na madaraka makubwa akina H,Kolimba waliokiwa wakiila nchi hii sembuse mbwa wewe usie hata na cheo
Eti unatetea sera sikuelewi kama waliozitetea ndio walisema CHAMA CHA CCM HAKINA MWELEKEO NA WAKAONDOLEWA sembuse kibwengo wewe?

Tafuta cha uvunguni tu kwa kuwa unapewa posho za kuandika uozo wako humu siku zinaenda na bado unaendelea kuishi mjini kwa ajili ya majungu na umbea endelea tu
Umemaliza kutukana?
 
eowange
Naona unajitahidi sana kunitafutia ban! Siku hizi sijibizani na misekure; wewe endelea ukimaliza potelezea kiana
Chama
Gongo la mboto DSM
Mkuu hii misukule imeanza kuchanganyikiwa na kama ujuavyo hawana ujanja baada ya 2015 itabidi watawanyike kwani 2020 itakuwa mbali sana kwao
 
Jamaa kasema ataenda karagwe kugombea ubunge na akipita atakuwa waziri.
Ameisha nunua spika mbili za watts 80 kila moja tayari kwa kampeni za 2015
Safi sana, aje tu sio vibaya kuweka malengo tunataka watu kama hao
 
Mkuu ni afadhari kama wangefahamu kama hawafahamu kuliko kudhani wanafahamu.

anyway, tutafika tu.
Mkuu siku hizi naona unatoa elimu swafi sana kwa hawa jamaa.
Nimegundua tofauti kubwa sana kati yako na makamanda. Wewe ukicoment au kujibu coment unaijibu kwa uadilifu na pia kwa kuhakikisha haumkwazi mtu lakini wao lazima watukane badala ya kutoa suluhisho. Hapa siku hizi mimi kama CCM nikumuuliza kamanda wa chadema hapa 2x2 ni ngapi ataniporomoshea matusi ya nguoni bila break badala ya kunisaidia mtanzania mwenzake nijue hesabu
 
Watanzania kama wewe huwa ninawashangaa sana.
Maelezo yako yanaweza yakawa na ukweli fulani ndani yake lakini unapoaanza kutoa mifano ya Kenya kimaendeleo kulinganisha na Tanzania ni kutaka kumfanya mtu acheke kama siyo kusikitika.

Hivi umeisha tembea Kenya achilia mbali kuishi ukaona hali halisi ya maisha ya watu wa Kenya?. Tatizo la watu wengi kama wewe, mnaokota habari za barabarani na kuzifanya ndiyo ukweli badala ya kuutafuta huo ukweli.

Haya bana, CCM haijatatua kero yeyote ile.

By the way, Mbona viongozi wa CHADEMA kila siku wanampongeza Mwl. Nyerere kwa kazi nzuri aliyoifanya mpaka wanaweka picha yake kwenye mikutano mikuu ya baraza la taifa CHADEMA. Je, huyo anayepongezwa, ni kero gani hizo ambazo alipunguza nje ya CCM akawa ni tofauti na CCM.

Kuishi kwa political cherry picking hakuwezi kuondoa ukweli.

Nyerere alitengeneza foundatio, bahati mbaya waliopo wako busy kubomoa,wakati wake licha umaskini bado watu walikuwa wanapata huduma nyingi bure na zenye ubora kama shule na mahospitali, lakini zaidi nia yake ya kuijenga nchi yake ilikuwa wazi sio hawa wa sasa wanaocheka wakati wanyama wanasafirishwa kwenda nje, dhahabu zinabebwa na kuacha mashimo na magonjwa kwa raia wa nchi hii, ujinga huu wakati wa nyerere ni dhambi sawa na kuua mtu
 
Mkuu hii misukule imeanza kuchanganyikiwa na kama ujuavyo hawana ujanja baada ya 2015 itabidi watawanyike kwani 2020 itakuwa mbali sana kwao

Halafu we ndiyo PIMBI kweli, hiyo misukule imefugwa na bibi yako?
 
eowange
Naona unajitahidi sana kunitafutia ban! Siku hizi sijibizani na misekure; wewe endelea ukimaliza potelezea kiana
Chama
Gongo la mboto DSM

Siyo kosa lako, HEAD yako imeathiriwa na MILIPUKO ya MABOMU YA MBAGALA!!!!
 
Siasa za majitaka zimeanza kuchukua kasi CHADEMA baadhi ya viongozi wanaitwa masalia wakati ni viongozi wa juu wa chama this is bad either we fire or w retain naogopa kuna watu wanatumika kudisqualify baadhi ya viongozi kwa kuwaita wasaliti na wengine waonekane wanajengeka chama nyumba moja kugombania fito kwanini.

Hiki si chama cha siasa. Ni genge la wambeya.
 
Chilisosi
Mkuu naona Dr A. Paurine kalikimbia jukwaa; mwambie hawezi kuwa mwanachadema mzuri kama hawezi siasa za majitaka huo ndio mhimili wao mkubwa; na amejionea jinsi vijana wake walivyo hodari wa matusi; kila thread utakayoingia Chadema ndio waanzilishi wa matusi; nina uhakika mpaka sasa hivi daktari atakuwa amepata picha kamili kama anataka sera na hoja vitu hivyo vipo CCM; matusi,fitina na uwongo vipo Chadema chaguo ni lake
Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
eowange
Naona unajitahidi sana kunitafutia ban! Siku hizi sijibizani na misekure; wewe endelea ukimaliza potelezea kiana
Chama
Gongo la mboto DSM

Mkuu chama,

Hakuna adhabu kali kwa mpuuzi kama kumpuuza.
 
Last edited by a moderator:
Hivi slaa na uzee wake wote huu alishindwa hata kujenga ka nyumba ka tope?nauliza tu wakuu
 
Ritz
Mkuu misekure mingi tu humu ipo kutishia na kutafutia watu ban; hanisumbui acha itukane ikimaliza itatafuta pa kwenda.
Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom