Nafurahi sana kusikia kwamba hujawahi kumtukana mtu. Na kama huo ndo ukweli wako ni vyema ukawa kioo cha jamii kwa kuonesha mfano bora kwa vijana hawa wa bavicha...Kama umeshagundua siasa za maji taka zinachelewesha maendeleo, basi iwe wajibu wako kuzikemea na sikuziongezea moto. Saidia kubadilisha utamaduni wa matusi kwa kutotoa matusi hata pale unapojihisi unaulazimika, jizuie. Kwa kufanya hivyo utachangia sana maendeleo ya jamii yako na ustawi wa JF
ZeMarcopolo
Mkuu naona wanachadema wanatafuta mchawi wakati wao ndio wahusika wakubwa wa kuleta matusi JF kama hawakumbuki na wajaribu kufuatilia kwa karibu; kikosi chao kilikuwa chini ya kamanda Precise pangolin;sisi tulijibu mapigo kuweka hali sawa baada ya mods kuruhusu upande mmoja kuvunja amani; huyu Mtu wa Shamba na Dr.A Paurine ni wale wale wanabadili majina kutuzuga wao ndio watusi wakubwa na waasisi wa siasa za maji taka; wanaccm tupo kutetea sera zetu matusi tunajifunza kutoka kwao.
Chama
Gongo la mboto DSM
Nasikia wengine ni mbwa
Wewe mtu ni samehe bure nakuona kama mganga njaa tu unayetafuta pakutokea.
Hakuna nilichokosea huo ndio ukweli wenyeweNadhani hapo ndugu unanikosea haki kabisa lakini "you are entitled to your opinion" Hapa nina jina moja tu tena la ukweli. Kila Nikipata muda kidogo nautumia kwa kujenga na si kubomoa.
Tutofautishe kutukana na kusema kesema ukweli unaouma, sikuja kumtukana mtu na si hulka yangu kutukana watu japo naweza. Nadhani kuguswa kwako na thread ile ni kwa sababu wana JF kwa njia moja au nyingine kwa muda sasa wamekuwa wanakuassociate na kukulinganisha na mlengwa wa ile thread. Ninyi ni watu tofauti sana kwa kila kitu, japo wewe hujatambua hilo kwa sababu haumfahamu na matokeo yake unabebana nae hata pale unapojua hayuko sahihi. Hukutaka hata kujiuliza ni kwa nini sikwenda pale kwake in person au nikampigia simu ama nikamu-email na badala yake nikaja hapa. To cut the story short sikuja hapa kushindana na yeyote na hivyo sikushindwa na mwanaJF yeyote. Nia yangu ilikuwa ni kufikisha ujumbe kwa mlengwa in person and with confidence bila kujificha nyuma ya jina la kufikirika. na nilifanikiwa sana katika hilo na wewe unaweza kukubaliana nami kama ukiwa muungwana.
Nimekufuatilia sana hapa JF na nikaona wewe ni mchangiaji wa mada nyingi sana zenye kujenga na kubomoa na nimejiridhisha kwamba wewe ni muelimishaji na mpotoshaji at the same time. Kwa sababu sasa umenilazimu kukuzoom na kukufahamu fika wewe ni nani, ninakuja kwako na ombi langu binafsi.
Naomba uchukue upande wako wa busara (si akili) na na ndo u-portray kwa jamii. Kutukana na kukashfu viongozi na wazee wetu for political gain (ambitions) si swala jema. Nchi yetu inatuhitaji wote as one Tuijenge jamii iliyobora kwa kuonesha mfano, leo hii watu wanakimbia JF kisa kuna mtu anaitwa ZeMarcopolo anatukana sana.
Binafsi nitashukuru sana kama utaliona hili na kulipa uzito unaostahili, ukichagua kukosa heshima na kuipuuza heshima niliyokupa wewe na si ZeMarcopolo basi labda nifanye utaratibu wa watawala wetu, nije hapo ofisini kwako au nyumbani tunywe kahawa halafu nikuuliza vizuri kulikoni. Uwe na siku njema.
Nilikuwa namjibu ZeMarcopolo, bahati nzuri yeye tumeelewana. Nilianzisha mjadala mfupi naye kwa kuwa naona uwezo wake wa kiakili na bila shaka kutokana na uwezo huo amenielewa nami nimemwelewa.ZeMarcopolo
Mkuu naona wanachadema wanatafuta mchawi wakati wao ndio wahusika wakubwa wa kuleta matusi JF kama hawakumbuki na wajaribu kufuatilia kwa karibu; kikosi chao kilikuwa chini ya kamanda Precise pangolin;sisi tulijibu mapigo kuweka hali sawa baada ya mods kuruhusu upande mmoja kuvunja amani; huyu Mtu wa Shamba na Dr.A Paurine ni wale wale wanabadili majina kutuzuga wao ndio watusi wakubwa na waasisi wa siasa za maji taka; wanaccm tupo kutetea sera zetu matusi tunajifunza kutoka kwao.
Chama
Gongo la mboto DSM
Hapa ndipo huwa ninashindwa kuelewa baadhi ya watu kama wewe. Hivi unafikiri hatuyajui maisha yako hapa UK.Mimi nitafuta pa kutokea? ili niende wapi ndugu yangu?...Nimeisha toka zamani tena sana na sasa ni payback "period". My future is certain,...it is all about the poor Tanzanians...and I expect nothing in return.
Kama kumuita mtu chizi sio kumtukana basi sawa hujawahi kumtukana mtu.
Unfortunately kwa jinsi unavyotoa maelezo yako hakuna dalili kwamba uko tayari kwa siasa safi.
Ukisoma mwanzo wa thread hii nimeshasema kuwa siasa safi hujenga nchi. Nikaendelea kuwa nimefanya siasa za majitaka and am not proud of it lakini natambua kuna wakati unajikuta kwenye dimbwi la taka na lazima ucheze kwenye majitaka.
Hakuwezi kuwa na siasa safi toka upande mmoja. Kama vijana wa bavicha wataendelea kuwa vinara wa matusi na kejeli, wasitegemee kupigiwa makofi na kushangiliwa, they will be confronted...
Hapa ndipo huwa ninashindwa kuelewa baadhi ya watu kama wewe. Hivi unafikiri hatuyajui maisha yako hapa UK.
Wakati mwingine jaribuni kuwa wakweli. Umeisha toka zamani?. REALLY?
Hahaha,Hapa ndipo huwa ninashindwa kuelewa baadhi ya watu kama wewe. Hivi unafikiri hatuyajui maisha yako hapa UK.
Wakati mwingine jaribuni kuwa wakweli. Umeisha toka zamani?. REALLY?
Baada ya M4C ya Chris kuanza Barking ndiyo ukawajua poor Tanzanian. Wabongo bana.
Ni angalizo tu.
Well! inategemea siasa safi ni zipi kwa definition yako maana siasa kwa upana wake ni neno lenye maana pevu na kwa hiyo kunawatakao muona mwenye matusi au mwongo, dictator nk kama mwenye siasa safi. Hivyo inawezekana kabisa siko tayari kufanya siasa safi zenye mtizamo wako + mimi siyo mwanasiasa if that might help. Bottom line - nitumaini langu nimefikisha ujumbe wangu kwako na tumekubaliana kujenga kwa pamoja hata kama tuna milengo tofauti.
Mkubwa ,
Wewe binafsi unaongoza kwa matusi, tena sio hapa JF tu bali hadi kwenye facebook ambapo unajua kabisa wanetu wanasoma hayo matusi. Mimi ni mstaarabu sana huwa sijibu kwa matusi lakini wewe kama rafiki yangu wa karibu ulikubali kutumwa na Dr Slaa uje hapa unitukane kwa niaba yake nikakusamehe.
Mimi naomba tu usiidhalilishe fani na Phd yako kwa kutumika kuporomosha matusi hapa, Siasa za maji taka waachie watu kama kapotolo na hawa makamanda misukule wengine. wewe ulitakiwa uwe mtu wa kuelimisha na kumwaga sera sio matusi au lichee ya bozo!
The choice is yours. This is self-asserting.Huo ndo ulikuwa ukweli wangu lakini Kwakuwa unajua nilipotoka, ninavyoishi na ninapokwenda i.e. plans zangu za maisha na unaona sijatoka, basi I withdraw my statement...
Hahaha,
Mkuu umenivunja mbavu sana
Nadhani mtu akiwa na uwezo wa kubadili mboga na kujinunulia Oyster card anaona ndio ametoka
Chris naona tatizo langu ni kuwa mkweli na kila nikisema ukweli eti nimetukana. Hebu eleza nilikutukana nini FB kwa faida ya wanaJF. Plus kwa busara zako unaona kweli Dr Slaa anaweza kuharibu muda wake na wangu ananituma nikakutukane wewe? kweli unaamini hivyo Chri?
Hawa jamaa hawaelewi hata kidogo,Naona Paurine unataka kuuchafua huu uzi ambao umeenda vizuri na kuwa very productive so far.
It is clear kwamba ulimtukana Chris na kama hilo unashindwa kuomba radhi basi angalau uache kuzungumzia kuliko unavyosisitiza kuwa "ulisema ukweli". Ule uzi uliuanzisha mwenyewe baadae ukaukimbia.
Kama uko serious na kufanya siasa safi za kujadili hoja basi uwe tayari pia kuwakumbusha vijana wa bavicha kuwa kumtukana Rais wa nchi sio jambo sahihi. Mbowe anamheshimu rais wa nchi na hamtolei kauli za dharau, Zitto anamheshimu Rais na hawezi kumtolea kauli za dharau lakini vijana wa bavicha wanatoa kauli za dharau kwa Rais. Kama hilo kwako sio tatizo basi ni lazima ujiandae kusikiliza viongopzi wengine wanaochochea kauli hizo za dharau wakikutana na kauli zinazofanana na hizo. narudia kuwa hili sio jambo lakujivunia lakini ndio njia pekee iliyobaki ya kuwajulisha vijana wa bavicha kuwa wakubwa wanapaswa kuheshimiwa na kwamba mkubwa anayefundisha dharau hudharauriwa.
Bongo noma mkuuHahahah!! Oyster ya weekly bus pass, huku akiangalia bus timetable akadandie.
Mkuu, mimi nilishangaa sana siku ile alivyokuja hata na copy & paste ya dalili za magojwa kibao akitaka kuwaaminisha Tanzania yeye ni daktari wa binadamu kumbe sivyo
Kweli wabongo wana vituko.