PreGE2025 Siasa za CCM ni za aibu, Vijana aina ya Mwijaku wamechagua kupotoka na ujinga

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
4,770
Reaction score
10,665
Hivi ndivyo CCM imetufikisha na kutuharibia nchi.

Ili kuirudisha nchi kwenye misingi na kuwarudisha vijana kwenye sense of life and minds …… REFORM NI LAZIMA NDUGU ZANGU.

REFORM YA constitutional ni LAZIMA…..otherwise in the next 10 years vijana wetu watapata tabu sana.

CCM cares only about how to remain in power and not otherwise, nchi imevurugika sana , na vijana wamepotoka na ku lose mind ili waweze ku survive …..

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

vijana hawaamini tena kwenye elimu na intelligence.

Kama tungekuwa na vijana wa hivi miaka ya 50 to 90s, tusingekuta hili taifa linaloharibiwa kwa sasa namna hii.

Vijana wa 50s to 90s walikuwa wanaakili snaa na hawakuwaga na elimu kubwa sana.

Naambiwa huyu Jamaa alisoma UDSM, kama hii ndio product ya UDSM….. then I am out
 
Attachments

  • v14044g50000cvfq19vog65na0uratug.mp4
    9.1 MB
Hivi ndivyo CCM imetufikisha na kutuharibia nchi.

Ili kuirudisha nchi kwenye misingi na kuwarudisha vijana kwenye sense of life and minds …… REFORM NI LAZIMA NDUGU ZANGU.

REFORM YA constitutional ni LAZIMA…..otherwise in the next 10 years vijana wetu watapata tabu sana.

CCM cares only about how to remain in power and not otherwise, nchi imevurugika sana , na vijana wamepotoka na ku lose mind ili waweze ku survive …..

vijana hawaamini tena kwenye elimu na intelligence.

Kama tungekuwa na vijana wa hivi miaka ya 50 to 90s, tusingekuta hili taifa linaloharibiwa kwa sasa namna hii.

Vijana wa 50s to 90s walikuwa wanaakili snaa na hawakuwaga na elimu kubwa sana.

Naambiwa huyu Jamaa alisoma UDSM, kama hii ndio product ya UDSM….. then I am out
Mwinjaki sio kijana, ni Babu mwenye mtindio wa ubongo
 
This man in the video is not 'insane', he knows exactly what he is doing.
 
Rubbish
 
Back
Top Bottom