Siasa za Bongo zinanishangaza sana

ECONOMY

JF-Expert Member
Apr 10, 2017
680
480
Habari wanajamvi.huwa mimi Nawashangaa Wanaobaki CCM Leo Ila Wakisurubiwa Wanakiponda Chama. Ila Nawashanga Zaidi Wa Upande Wa Pili Wanavyowapokea Na Kuwasafisha.kabda ya hapo walikuwa wanawasema sana
 
Hatuna siasa thabiti Africa wanasiasa wanajaribu tu kufanya siasa nchi nyingi za Africa
 
Habari wanajamvi.huwa mimi Nawashangaa Wanaobaki CCM Leo Ila Wakisurubiwa Wanakiponda Chama. Ila Nawashanga Zaidi Wa Upande Wa Pili Wanavyowapokea Na Kuwasafisha.kabda ya hapo walikuwa wanawasema sana
Mkuu,siasa bongo ni ajira tu,usimuamini sana mtu awe CCM ,cuf,cdm au nani sijui, Hata wananchi washawajua walivyo ndo maana kampeni zetu ni za nipe nikupe,kula kwa kura basi.
 
Habari wanajamvi.huwa mimi Nawashangaa Wanaobaki CCM Leo Ila Wakisurubiwa Wanakiponda Chama. Ila Nawashanga Zaidi Wa Upande Wa Pili Wanavyowapokea Na Kuwasafisha.kabda ya hapo walikuwa wanawasema sana
Hakuna adui wala rafiki wa kudumu. Rafiki yako wa leo ndio adui yako wa kesho! Kwahiyo hii kwenye siasa ni kawaida sana!
 
Naona hawa ndio unao wasema
download-8.jpg

Bapo kabla...
images-214.jpg

Hapo baada.....
images-227.jpg
images-228.jpg

Hapo kabla....
images-232.jpg
images-226.jpg

Hapo baada....
images-215.jpg
images-3.jpg

Hapo kabla....
download-9.jpg
download-10.jpg

Hapo baada....
 
Hakuna adui wala rafiki wa kudumu. Rafiki yako wa leo ndio adui yako wa kesho! Kwahiyo hii kwenye siasa ni kawaida sana!
Wewe unataka uniambia MTU aliyevamia clouds kwa silaha akija kwenu mtampokea?
 
Usishangae hivyo ndio siasa ilivyo... Sayansi ya siasa.. Siasa haihitaji ukweli sana, inahitaji mchanganyiko wa ukweli, uongo, majungu na unafiki.. Kama sio member wa kuchanganya hivyo huwezi fanya siasa.
 
Habari wanajamvi.huwa mimi Nawashangaa Wanaobaki CCM Leo Ila Wakisurubiwa Wanakiponda Chama. Ila Nawashanga Zaidi Wa Upande Wa Pili Wanavyowapokea Na Kuwasafisha.kabda ya hapo walikuwa wanawasema sana
Wewe unajua Tramp alikua chama gani kabla ya sasa
 
Back
Top Bottom