Siasa za Bongo zinanishangaza sana

Siasa za Bongo zinanishangaza sana

Habari wanajamvi.huwa mimi Nawashangaa Wanaobaki CCM Leo Ila Wakisurubiwa Wanakiponda Chama. Ila Nawashanga Zaidi Wa Upande Wa Pili Wanavyowapokea Na Kuwasafisha.kabda ya hapo walikuwa wanawasema sana
Katika siasa hakuna rafiki wa kudumu pia adui wa kudumu
 
Back
Top Bottom