Siasa za bongo na hekaya za kale

Siasa za bongo na hekaya za kale

Abdul Mluya

Member
Joined
May 28, 2013
Posts
47
Reaction score
25
Ikiwa hali itaendelea kuwa hii basi siasa 2020 itazikwa haiwezekani wao wacheze sisi tupige makofi.
Haiwezekani wao waseme sisi tusikilize.
Haiwezekani wao waende sisi marufuku.
Kwa mbaaaali naiona Tanzania mpya
 
Halafu tunaaminishwa CCM inapendwa sijui inapendwa nakinanani
 
Nchi hii tunachokipanda tutakivuna.....
 
Back
Top Bottom