DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 31,636
- 81,533
- Thread starter
- #41
Kwa kukusaidia tu, hizo njia za kidemokrasia huwa zinachukua muda sana kuleta mabadiliko. Lakini njia machafuko kwa huku afrika zinaleta mabadiliko ya haraka sana. Watu wamedai mabadiliko kwa zaidi ya miaka 30 lakini ccm wakatia pamba masikioni, lakini machafuko ya juzi tayari kila mtu amekaa kwenye mstari na yuko tayari kwa mabadiliko. Na wakigoma machafuko makubwa zaidi ndio yataleta mabadiliko ya kweli. Hizo njia zako za amani tumia ww tuone kama utapata mabadiliko yoyote ya kweli. Ila mimi naamini njia ya machafuko ni ya hatari ila ina matokeo ya haraka.
Wewe ni MTU mbinafsi - na hautaweza kuleta mabadiliko kwakuwa unataka shortcut way