DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 31,636
- 81,533
Naona siasa za HOJA Kama either zimekufa au watu wameacha kabisa kupambana na tatizo Ila wanapambana na MTU aliyeibua tatizo inafikirisha
KITENDO CHA WATU KUTUKANA MATUSI NI ISHARA KUWA UWEZO WA WATU KUJADILI HOJA NDO UNAELEKEA MWISHO KAMA SIO KUFA KABISA
Movement yoyote haiwezi ikawa na uhai ikiwa wanaoratibu na kuongoza hiyo movement ni WATU wa kutukana matusi na kumjadili mtoa hoja na sio hoja
Hili ni tatizo la unafsi linaloweza kupelekea wachache kutawala siasa za Tanzania muda mrefu
Je ni kweli wanaokosea ni CCM tu Ila wapinzani ni malaika wa MUNGU.!!??
Ukifatilia utagundua kuna tatizo la unafsi linawasumbua WATU.
Simaaniishi Mimi ninayeandika hapa nipo sahihi Ila hata Mimi nahitaji kujirekebisha kupitia hiki nilichoandika
Jambo la kuwahukumu WATU tujaribu kuachana nalo kwakuwa hilo ni jambo rahisi ,
Ila tuanze kujihukumu sisi kwa sisi ambalo ndo jambo gumu zaidi.